Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

Kuna watu waliwahi kumlinganisha Miqsone na mchezaji wao ambaye kitakwimu tu kazidiwa na Asha Jaffar

IMG_20220830_190710.jpg
 
Mmekazana kombe kombee kau mnamanisha kombe nyama ya ngo'mbe?? Sisi tunajulikana kwa kuwapiga miamba ya soka na kuongoza makundi. Robo fainali zikizidi zinakua nusu fainali mwisho tunachukua kombe siku si nyingi.
Mafanikio ni kubeba kombe sijawahi kusikia kombe la kufunga miamba ya soka. Ama kombe la robo fainali.
 
Chama huyohuyo. Huwezi mlinganisha na mchezaji anayechezea timu ambayo haijawahi kushinda mechi yoyote ya kimataifa hata ya kirafiki tu tangu miaka ya 2014 huko.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hatuongelei timu tunamuongelea chama huyu huyu ambaye wakati ki aziz akitoa ma assist siku ya ngao ya hisani huyu chama alikua amekalia bench anashangaa tu goli mbili za fasta kama radi...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nme leta screenshot kuonyesha kua kuifunga Al Ahly sio big deal wala hukukufanyi kua exceptional
Weka basi na screenshot inayoonesha Yanga anaongoza kundi akimzidi Al Ahly pamoja na screenshot inayoonesha mko robo ili tuone kweli sio big deal
 
Huyo Chama hawezi kucheza nje ya Tanzania kwa sababu ni mchezaji wa kawaida sana basi tu watanzania kwa promo wanaongoza duniani.
 
Back
Top Bottom