Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

Huyo Aziz Ki hata kuuliziwa huko Berkane nehi, mwenzake Karim yuko zake Ulayaaaa. Yeye kigamboni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili la yeye kuwa Kigamboni waende wakalifanyie kazi 🤣🤣🤣
 
Kibu kwa nyakati zile alikuwa bora kuliko Mayele kuzingatia muda anaocheza

Azizi Ki ni mchezaji mzuri ila sio wa kumfananisha na Chama, Chama ni high level

Mchezaji mnayetaka mpaka acheze mechi 20 ndio mpime ubora wake huwezi kufananisha na ubora wa mchezaji anao uonesha kila mechi anayo cheza
Mchezaji high level anayeishia kucheza Tanzania pekee. Aisee mahaba yakizidi ni upofu.
 
Mchezaji high level anayeishia kucheza Tanzania pekee. Aisee mahaba yakizidi ni upofu.
Sasa Rasta mbona swala la Chama kucheza ligi ya ndani linaeleweka ni kutokana na protocols za CAF?

Linahusiana vipi na kiwango cha mchezaji?
 
Sasa Rasta mbona swala la Chama kucheza ligi ya ndani linaeleweka ni kutokana na protocols za CAF?

Linahusiana vipi na kiwango cha mchezaji?
Protocols za CAF zimesemaje kuhusu Chama kutocheza kwenye timu za nje ya Tanzania? Nifahamishe
 
Swala langu sio kwanini hachezi mechi za kimataifa bali ni kwanini mchezaji unayemsifia kuwa yuko high level, aishie kuchezea Tanzania badala ya timu kubwa kama Wydad, Al Ahly, n.k
kwani Simba timu ndogo. haya ni matokeo ya Star kuishi mtaa mmoja na watu wa kawaida
 
Ni timu ndogo ndio kwa barani Africa. Au unataka kusema Simba inakombe gani la CAF?
Mmekazana kombe kombee kau mnamanisha kombe nyama ya ngo'mbe?? Sisi tunajulikana kwa kuwapiga miamba ya soka na kuongoza makundi. Robo fainali zikizidi zinakua nusu fainali mwisho tunachukua kombe siku si nyingi.
 
Hakuna kipya
IMG_20220830_181821.jpg
 
Swala langu sio kwanini hachezi mechi za kimataifa bali ni kwanini mchezaji unayemsifia kuwa yuko high level, aishie kuchezea Tanzania badala ya timu kubwa kama Wydad, Al Ahly, n.k
Kwani Simba sio timu kubwa?
 
Ukitaka kujua Azizi Ki the Magician anawakosesha usingiz amani na nguvu za kiume Makolo, angalia kilasiku lazima wamtaje taje tu... Ukiona mwanaume anapenda kumfuatilia mwanaume mwenzake na kumtaja taja basi ujue anatamani kuchezea dudu
 
Back
Top Bottom