OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni kwasabau kila ukitaka kumfananisha Chama na Aziz Ki hesabu zinakataa unabaki kuumia tuMambo mengine yanastaajabisha sana. Wacha tu ninyamaze ili nisionekane nina nongwa.
umekutana na facts umeishiwa manenoMambo mengine yanastaajabisha sana. Wacha tu ninyamaze ili nisionekane nina nongwa.
Time will tell. Kama ukiona mchezaji mwenye miezi 2 tu kwenye ligi, analinganishwa na mchezaji mwenye miaka zaidi ya 4!!Ni kwasabau kila ukitaka kumfananisha Chama na Aziz Ki hesabu zinakataa unabaki kuumia tu
Afu ungejua wanao mlinganisha Aziz Ki na Chama, ni mashabiki wa Yanga.Time will tell. Kama ukiona mchezaji mwenye miezi 2 tu kwenye ligi, analinganishwa na mchezaji mwenye miaka zaidi ya 4!!
Basi unatakiwa kumuangalia kwa jicho la karibu sana huyo mchezaji.
Kwan ngao ya hissani ilikuwaje walipokutana ?
Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.
Tulia[emoji2]Makolo huwa mnafujo sana mkishinda, mkipigwa sasa inakuwa ni fujoo [emoji1787][emoji1787]
😄😄😄😄Tulia[emoji2]
Mbona mnawashwa washwa haraka haraka namna iyo aisee, uyo Aziz ki unaemlinganisha na chama ana muda gani kwenye soka la Tanzania? Uanze kumlinganisha akimaliza angalau msimu mmoja ndo mbivu na mbichi zitajulikana sio kulinganisha mchezaji aliyesajiliwa ajamaliza ata miezi 2, utakuwa ni punguani alafu unamlinganisha na mtu ambae ana misimu si chini ya 4 kwenye soka la tanzania
Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.