Kwenye media za michezo huko South Africa kuhusu game ya jana naona mashabiki wa Mamelod na Kaiser chiefs wamepagawa na kiwango cha Aziz Ki. Kila shabiki anashauri klabu chake kimsajili.
Kuna mmoja akaenda mbali zaidi kwa kusema sio tu lile goli lililokataliwa bali jinsi alivyo na nguvu za miguu na ball control.
Bila shaka huyu tutamkosa msimu ujao
Kuna mmoja akaenda mbali zaidi kwa kusema sio tu lile goli lililokataliwa bali jinsi alivyo na nguvu za miguu na ball control.
Bila shaka huyu tutamkosa msimu ujao