Aziz Ki ni 18+, ndoa ni yake sio mzazi.

Aziz Ki ni 18+, ndoa ni yake sio mzazi.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?.

Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa zaidi ya Aziz Ki mwenyewe?

Kuna watu wanatamani kutia doa ndoa ya Aziz Ki kana kwamba wameombwa kuchangia chochote kufanikisha ndoa yake. Au Wana bifu na hamisa kuolewa?

Tafuteni contents sehemu nyingine
 
Mtu akiwa kwenye jamii lazima wanajamii watoe maoni,maonyo,dukuduku,pongezi n.k kuhusu huyo mwanajamii, kama hataki hivyo inafaa aondoke katika jamii husika.
Ndio maana wao wanapost kila wanalofanya ili watu waone watoe maoni n.k
 
Kibongobongo raia hazipendi kuona mtu wanayemjua anafanikiwa! Wanachotaka uharibikiwe wapate la kuongea!

Wivu, husda na roho mbaya tu hakuna jipya!
 
Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?.

Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa zaidi ya Aziz Ki mwenyewe?

Kuna watu wanatamani kutia doa ndoa ya Aziz Ki kana kwamba wameombwa kuchangia chochote kufanikisha ndoa yake. Au Wana bifu na hamisa kuolewa?

Tafuteni contests sehemu nyingine
Kwa hiyo Yule mama alieandika gazeti ni mbongo?. Ndoa ya Hamisa imetiwa kasoro na wapambe😁
 
Aziz Ki Ni Benki Tu Wenye Pesa Wako Huko Na Makampuni Yao
Aliyekwambia Benki inamiliki Pesa Ni Nani?
 
Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?.

Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa zaidi ya Aziz Ki mwenyewe?

Kuna watu wanatamani kutia doa ndoa ya Aziz Ki kana kwamba wameombwa kuchangia chochote kufanikisha ndoa yake. Au Wana bifu na hamisa kuolewa?

Tafuteni contests sehemu nyingine
Suala siyo ndoa, suala ni kuoa mali ya umma. Mke wa watu huyo.
Watu wanamhurumia tuu hakuna kingine.
 
1739388788187.jpg
 
Kweli tumefikia huku jukwaa adhimu la michezo kunajadiliwa udaku na mambo ya ndoa hatarii sana!
 
Kibongobongo raia hazipendi kuona mtu wanayemjua anafanikiwa! Wanachotaka uharibikiwe wapate la kuongea!

Wivu, husda na roho mbaya tu hakuna jipya!
Ni kama vile watu walivyoumia Yanga kuifunga Singida Big Stars ingiwa Yanga imezifunga timu nyingi ikiwemo Simba na Singida ilifungwa na timu nyingi ikiwemo KMC
 
Kwa hiyo Yule mama alieandika gazeti ni mbongo?. Ndoa ya Hamisa imetiwa kasoro na wapambe😁
Mimi ni mbongo lakini mama yangu hakunipangia nani nioe, kwanza alitanitaka nioe mtoto wa rafiki yake mkuu wa toka utotoni nikalipiga chini wazo lake. Umri uliniruhusi kumchagua na kumuoa nimtakae mimi.
 
Suala siyo ndoa, suala ni kuoa mali ya umma. Mke wa watu huyo.
Watu wanamhurumia tuu hakuna kingine.
Jihurumie mwenyewe kwanza, kwakuwa hata wewe mkeo hukumkuta na bikra. Hakuna cha peke yako ila kuna malengo ya peke yako. Aziz alioa kwa malengo, kule kwao ni weusi sana na yeye alikuwa anataka mke na watoto weupe kutoka kwa Hamisa.
 
Back
Top Bottom