Aziz Ki ni 18+, ndoa ni yake sio mzazi.

Aziz Ki ni 18+, ndoa ni yake sio mzazi.

Jukwaa la ndoa na mahusiano lipo huko kuwa aziz mwanamichezo halialalishi kuja kujadili udaku unao muhusu yeye na habari zake vitobo!
hilo jukwaa paleka ndoa yako wewe, lakini ndoa za footballers kwao ni hapa.
 
Mtu akiwa kwenye jamii lazima wanajamii watoe maoni,maonyo,dukuduku,pongezi n.k kuhusu huyo mwanajamii, kama hataki hivyo inafaa aondoke katika jamii husika.
Ndio maana wao wanapost kila wanalofanya ili watu waone watoe maoni n.k
Aziz Ki ndiye atakaemjibu mama yake na ndugu mwingine anaelalamika kuhusu uwamuzi wake wa kumuoa Hamisa Mtanzania, na sio mtu mwingine yeyote.
 
Back
Top Bottom