Kwa hiyo Yule mama alieandika gazeti ni mbongo?. Ndoa ya Hamisa imetiwa kasoro na wapambe😁Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?.
Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa zaidi ya Aziz Ki mwenyewe?
Kuna watu wanatamani kutia doa ndoa ya Aziz Ki kana kwamba wameombwa kuchangia chochote kufanikisha ndoa yake. Au Wana bifu na hamisa kuolewa?
Tafuteni contests sehemu nyingine
Suala siyo ndoa, suala ni kuoa mali ya umma. Mke wa watu huyo.Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?.
Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa zaidi ya Aziz Ki mwenyewe?
Kuna watu wanatamani kutia doa ndoa ya Aziz Ki kana kwamba wameombwa kuchangia chochote kufanikisha ndoa yake. Au Wana bifu na hamisa kuolewa?
Tafuteni contests sehemu nyingine
Kweli tumefikia huku jukwaa adhimu la michezo kunajadiliwa udaku na mambo ya ndoa hatarii sana!Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?.
Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa zaidi ya Aziz Ki mwenyewe?
Kuna watu wanatamani kutia doa ndoa ya Aziz Ki kana kwamba wameombwa kuchangia chochote kufanikisha ndoa yake. Au Wana bifu na hamisa kuolewa?
Tafuteni contests sehemu nyingine
Ni kama vile watu walivyoumia Yanga kuifunga Singida Big Stars ingiwa Yanga imezifunga timu nyingi ikiwemo Simba na Singida ilifungwa na timu nyingi ikiwemo KMCKibongobongo raia hazipendi kuona mtu wanayemjua anafanikiwa! Wanachotaka uharibikiwe wapate la kuongea!
Wivu, husda na roho mbaya tu hakuna jipya!
Mimi ni mbongo lakini mama yangu hakunipangia nani nioe, kwanza alitanitaka nioe mtoto wa rafiki yake mkuu wa toka utotoni nikalipiga chini wazo lake. Umri uliniruhusi kumchagua na kumuoa nimtakae mimi.Kwa hiyo Yule mama alieandika gazeti ni mbongo?. Ndoa ya Hamisa imetiwa kasoro na wapambe😁
Nimeona hizi zura nimestuka kwa hudhuni
Jihurumie mwenyewe kwanza, kwakuwa hata wewe mkeo hukumkuta na bikra. Hakuna cha peke yako ila kuna malengo ya peke yako. Aziz alioa kwa malengo, kule kwao ni weusi sana na yeye alikuwa anataka mke na watoto weupe kutoka kwa Hamisa.Suala siyo ndoa, suala ni kuoa mali ya umma. Mke wa watu huyo.
Watu wanamhurumia tuu hakuna kingine.