Shida ni Aziz Ki na Yanga kuweka standard mpya nchini kwa mchezaji kuoa rasmi kwa harusi iliyotikisa wadau wengi Afrika na dunia. Wanatafuta namna ya kuiga hili.
Mtu akiwa kwenye jamii lazima wanajamii watoe maoni,maonyo,dukuduku,pongezi n.k kuhusu huyo mwanajamii, kama hataki hivyo inafaa aondoke katika jamii husika.
Ndio maana wao wanapost kila wanalofanya ili watu waone watoe maoni n.k