Haiwezekani historia ya kuingia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwa timu kutoka taifa hili ipo mlangoni kwetu kabisa halafu wewe unapata nafasi ya wazi unataka kujing'arisha binafsi kwa kufunga goli la video.....mnaita sijui 'payenka' wenyewe. Inakera sana kwani tungekuwa mbele kwa goli moja saa hizi.