Azizi Ki tukitolewa kazi unayo, tafuta chimbo la kujificha kabisa!!

Azizi Ki tukitolewa kazi unayo, tafuta chimbo la kujificha kabisa!!

Mnajikutaa?? Hao hao mashabiki ndo waliowapa majina timu yenu..huwezi kukosa watu wa hivyo kwny timu msijifanye malaika sana..kwny kundi kubwa huwezi kukosa wakosoaji wa ndani humo humo kwenu...eti hatuna mtu kama ww hahahaah au unataka clip za waongea fyongo wa yanga.. 😆 😆
Pole Bibi. Al Ahly hawana maana kabisa. Kunywa maji mengi mama
 
Sz
Haiwezekani historia ya kuingia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwa timu kutoka taifa hili ipo mlangoni kwetu kabisa halafu wewe unapata nafasi ya wazi unataka kujing'arisha binafsi kwa kufunga goli la video.....mnaita sijui 'payenka' wenyewe. Inakera sana kwani tungekuwa mbele kwa goli moja saa hizi.
Mbona Aziz jana amekichafua sana
 
Mleta mada inaelekea hana weledi sana kwenye soka.....yaani hakuona kama ilikuwa offside
halafu sio payenka ni Panenka
 
sema mamelodi Jana wamewazarau sana.nyie sio wakufanyiwa vile bhanaa mmebaki kuvizia tuu kumiliki gem mlishindwa
Mwenye akili tu ya kuujua mpira ndio anajua Gamondi jana nini amekifanya. Bonge moja la kocha. Kukufanulia wewe kilichofanyika mpaka uelewe itakuchukua wiki nzima.
 
Mkikomaa na ile game mliyocheza juzi,mtawakamata wale waarabu. Wenyewe tu wanaogopa vibaya. Kule ni kucheza game kama ile ni makini tu umaliziaji. Juzi mliwalaza na viatu waarabu
Yani pale mbele kibu daaah ile goli alokosa..sema ndo hivyo ishatokea..ngoja tuone itakuwaje...
 
bwege tu wewe watu wanakutawala na unajisifu?
Akili yako ilishajieleza. Ndio maana nikakuambia mwenye akili tu ya mpira ndio ataelewa alichokifanya Gamond jana.
Sasa kwa akili yako hiyo kuujua mpira sio mwaka huu. Nakushauri jaribu kushabikia taarabu
 
akiimba mamako nitashabikia nakumbambia juu usiwaze
 
Akili yako ilishajieleza. Ndio maana nikakuambia mwenye akili tu ya mpira ndio ataelewa alichokifanya Gamond jana.
Sasa kwa akili yako hiyo kuujua mpira sio mwaka huu. Nakushauri jaribu kushabikia taarabu
Wale jamaa walikuwa wanapiga pasi nyuma Ili kuwavuta Yanga waende waache space nyuma wao wapige mipira mirefu washambulie spaces wapate goals na ndiyo mbinu yao kubwa wanayotumia ila gamondi alistukia mchezo Yanga wakawa wanazuia kwenye midbloc. Mamelody wakifika katikati ya uwanja Yanga ndiyo wanawapress na kunyang'anya mipira. Asiyejua Mpira atakwambia Mamelody wamepossess Sana Mpira lakini walipossess kwenye 18 Yao ambayo haikuwa na madhara yoyote ndiyo maana mpaka dak90 wana on target 2 Yanga wana 4.
 
Back
Top Bottom