Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Hakuona vizuri, alikuwa ana haraka kuwahi kunakohusika kutokana na tumbo kumuunguruma.Blaza hukuona ile ni offside au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuona vizuri, alikuwa ana haraka kuwahi kunakohusika kutokana na tumbo kumuunguruma.Blaza hukuona ile ni offside au
Umemaliza mkuuWale jamaa walikuwa wanapiga pasi nyuma Ili kuwavuta Yanga waende waache space nyuma wao wapige mipira mirefu washambulie spaces wapate goals na ndiyo mbinu yao kubwa wanayotumia ila gamondi alistukia mchezo Yanga wakawa wanazuia kwenye midbloc. Mamelody wakifika katikati ya uwanja Yanga ndiyo wanawapress na kunyang'anya mipira. Asiyejua Mpira atakwambia Mamelody wamepossess Sana Mpira lakini walipossess kwenye 18 Yao ambayo haikuwa na madhara yoyote ndiyo maana mpaka dak90 wana on target 2 Yanga wana 4.