Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Wale ni kawaida yao kutukana ila huku sisi hatutukani wachezaji wetu. Mchukueni na mtoa uzi aje huko Ukoloni ili awe anatukana zaidi.Kwani la Kibu juzi hakuwa offside??! mbona walimtukana sana?
Pole Bibi. Al Ahly hawana maana kabisa. Kunywa maji mengi mamaMnajikutaa?? Hao hao mashabiki ndo waliowapa majina timu yenu..huwezi kukosa watu wa hivyo kwny timu msijifanye malaika sana..kwny kundi kubwa huwezi kukosa wakosoaji wa ndani humo humo kwenu...eti hatuna mtu kama ww hahahaah au unataka clip za waongea fyongo wa yanga.. 😆 😆
Mbona Aziz jana amekichafua sanaHaiwezekani historia ya kuingia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwa timu kutoka taifa hili ipo mlangoni kwetu kabisa halafu wewe unapata nafasi ya wazi unataka kujing'arisha binafsi kwa kufunga goli la video.....mnaita sijui 'payenka' wenyewe. Inakera sana kwani tungekuwa mbele kwa goli moja saa hizi.
Hongereni kwa sare mtaniPole Bibi. Al Ahly hawana maana kabisa. Kunywa maji mengi mama
Msameheni tu huyu ndugu. Inaonekana Hana ufahamu wa kutosha kwenye sheria na kanuni za soka.Bila shaka wewe utakuwa madunduka tu. Ndio wenye haraka hizo. Huku YANGA hatuna mtu mropokaji ovyo kama wewe.
Nafasi 1 Aziz Ki alileta ujinga badala ya kumpatia pasi Mzize akaipaisha akitaka kufunga mwenyewe, akiwa pamoja na Pacome hutisha zaidi ingawa jana aling'aa pia.We mwehu zile ni offside. Yanga hatupo hivyo, wenye tabia hizo ni Mambumbumbu wa Rage.
Ninyi mliomiliki mpira matokeo yenu ndio hayasema mamelodi Jana wamewazarau sana.nyie sio wakufanyiwa vile bhanaa mmebaki kuvizia tuu kumiliki gem mlishindwa
Hahahahaha eti mbuziHii mbuzi haijui offside
Siku zako zikipitiliza ndo unavyokuwa?!!!!Hii mbuzi haijui offside
lakini jasho lameno mwarabu limemtokaNinyi mliomiliki mpira matokeo yenu ndio haya
0 : 1
Mkikomaa na ile game mliyocheza juzi,mtawakamata wale waarabu. Wenyewe tu wanaogopa vibaya. Kule ni kucheza game kama ile ni makini tu umaliziaji. Juzi mliwalaza na viatu waarabuHongereni kwa sare mtani
Hongereni kwa sare mtani
Mwenye akili tu ya kuujua mpira ndio anajua Gamondi jana nini amekifanya. Bonge moja la kocha. Kukufanulia wewe kilichofanyika mpaka uelewe itakuchukua wiki nzima.sema mamelodi Jana wamewazarau sana.nyie sio wakufanyiwa vile bhanaa mmebaki kuvizia tuu kumiliki gem mlishindwa
bwege tu wewe watu wanakutawala na unajisifu?Mwenye akili tu ya kuujua mpira ndio anajua Gamondi jana nini amekifanya. Bonge moja la kocha. Kukufanulia wewe kilichofanyika mpaka uelewe itakuchukua wiki nzima.
Yani pale mbele kibu daaah ile goli alokosa..sema ndo hivyo ishatokea..ngoja tuone itakuwaje...Mkikomaa na ile game mliyocheza juzi,mtawakamata wale waarabu. Wenyewe tu wanaogopa vibaya. Kule ni kucheza game kama ile ni makini tu umaliziaji. Juzi mliwalaza na viatu waarabu
Yeah... Mmekufa kiume kwa hakikalakini jasho lameno mwarabu limemtoka
Akili yako ilishajieleza. Ndio maana nikakuambia mwenye akili tu ya mpira ndio ataelewa alichokifanya Gamond jana.bwege tu wewe watu wanakutawala na unajisifu?
akiimba mamako nitashabikia nakumbambia juu usiwazeAkili yako ilishajieleza. Ndio maana nikakuambia mwenye akili tu ya mpira ndio ataelewa alichokifanya Gamond jana.
Sasa kwa akili yako hiyo kuujua mpira sio mwaka huu. Nakushauri jaribu kushabikia taarabu
Wale jamaa walikuwa wanapiga pasi nyuma Ili kuwavuta Yanga waende waache space nyuma wao wapige mipira mirefu washambulie spaces wapate goals na ndiyo mbinu yao kubwa wanayotumia ila gamondi alistukia mchezo Yanga wakawa wanazuia kwenye midbloc. Mamelody wakifika katikati ya uwanja Yanga ndiyo wanawapress na kunyang'anya mipira. Asiyejua Mpira atakwambia Mamelody wamepossess Sana Mpira lakini walipossess kwenye 18 Yao ambayo haikuwa na madhara yoyote ndiyo maana mpaka dak90 wana on target 2 Yanga wana 4.Akili yako ilishajieleza. Ndio maana nikakuambia mwenye akili tu ya mpira ndio ataelewa alichokifanya Gamond jana.
Sasa kwa akili yako hiyo kuujua mpira sio mwaka huu. Nakushauri jaribu kushabikia taarabu