SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka akufanyeje?Ujinga mwingine ni mzigo. Sasa mbali na goli kuna kingine kafanya?
alijaribu bahati yake kuwa shekhe yahaya sema kaangukia puaKweli muda ni mwalimu mzuri. Sijui leo una lipi la kusema.
Kwani alitumwa kufanya nini kingine?Ujinga mwingine ni mzigo. Sasa mbali na goli kuna kingine kafanya?
😎 😎 😎 Huo wako ni Upumbavu kabisa...Kwa hiyo goli unafunga tu kama uko chooni unajisaidia haja kubwa??? Kufunga goli kama lile kunaonyesha amefanya juhudi za kutosha...Mashuti mangapi amepiga kwa Manula kabla hajafunga goli??? Kuwa na data kwanza usiongee tu kama Mlevi wa Gongo wa Uwanja wa Fisi.Ujinga mwingine ni mzigo. Sasa mbali na goli kuna kingine kafanya?
Unaumia hela za wanaume wenzako?Hongera Aziz Kindamba kwakuja kuchuma hela za gsm na wana yanga wasio na akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera Aziz Kindamba kwakuja kuchuma hela za gsm na wana yanga wasio na akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watuuu khaaahHuyo ni Sir PONG Aliyechangamka....![emoji28] Zile pointi 0.5 za Yanga Kule CAF safari hii wanaenda kuzifuta kbs...
Mwenzake Konate alienda zake mambelee hukooo. Yeye kaja Salamander. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchezaji wa Afrika Magharibi aache kwenda Ulaya au China eti aje acheze NBC Premier League
Alitumwa kucheza dkk 9 ktk match muhimu.Kwani alitumwa kufanya nini kingine?