Azma ya Lissu kwenda kwenye kaburi la Magufuli yakaribia, akifika Chato kesho tarehe 02.08.2023 huenda itatimia

Azma ya Lissu kwenda kwenye kaburi la Magufuli yakaribia, akifika Chato kesho tarehe 02.08.2023 huenda itatimia

Kila binadam ana mazuri na mabaya yake, nazani chadema wameamua kuachana na mabaya yake na kumkumbuka kwa mazuri yake kama alivyosisitiza mwenyewe kabla ya kifo chake
Wewe haukuwepo kipindi Wana mnanga?
Huo Ni unafiki wa wazi wazi kabisa.
 
Wewe haukuwepo kipindi Wana mnanga?
Huo Ni unafiki wa wazi wazi kabisa.
Kwa hiyo umeumia CHADEMA kwenda Kwa Magufuli?
Adui mpende. Hii movement CHADEMA mmewachanganya Sana CCM, siyo mitandaoni tu, hata Lumumba kwenyewe wanashindwa waiambie familia izuie Jamii haitawaelewa maana wataifarakanisha familia na Jamii, wakisema waruhusu siasa za CHADEMA towards Magufuli zitabadilika kuanzia hapo maana watatoka na kauli ya "MSAMAHA" na kueneza amri ya Msamaha kama Mungu anavyotusamehe tunapokosea.
Kiujumla kijani haijui ishike lipi, ni vululu vululu.
 
Wewe haukuwepo kipindi Wana mnanga?
Huo Ni unafiki wa wazi wazi kabisa.
Katika siasa na hata maisha ya kawaida hakuna uadui wa milele na ndo maana familia ya magu wamepokea ombi la chadema kwa moyo mkunjufu ,kumbuka hata nape alishawahi kumnanga magu kabla hajafarik na walimaliza tofauti zao
 
Sio kweli Nape na Magu Ni CCM moja huwezi kulinganisha....Chadema wanatafuta huruma ya kupigiwa kura na watu wa huko chato na Kanda ya ziwa kwa Mwendazake hakuna kingine na huo Ni unafiki....Dikteta uchwara leo mnamkubali,Umesahau Lema aliota Rais atakufa? na Wana chadema wengi waliomba Dua hiyo bora jamaa atangulie.
 
Kwa hiyo umeumia CHADEMA kwenda Kwa Magufuli?
Adui mpende. Hii movement CHADEMA mmewachanganya Sana CCM, siyo mitandaoni tu, hata Lumumba kwenyewe wanashindwa waiambie familia izuie Jamii haitawaelewa maana wataifarakanisha familia na Jamii, wakisema waruhusu siasa za CHADEMA towards Magufuli zitabadilika kuanzia hapo maana watatoka na kauli ya "MSAMAHA" na kueneza amri ya Msamaha kama Mungu anavyotusamehe tunapokosea.
Kiujumla kijani haijui ishike lipi, ni vululu vululu.
Mimi Sina Kadi ya chama chochote,Na CCM siwakubali....Tangu nipo mdogo nilikuwa napenda upinzani uchukue nchi....kipindi CUF ya Profesa Lipumba,Chadema ya kina Dr Slaa,Nccr Mageuzi ya Mbatia nilikuwa mshabiki kweli kweli wa upinzani Bongo,Ila Mambo ya kipuuzi waliyo yafanya yakanitoa kuamini kwamba hakuna upinzani Tanzania watu wanapigania maslahi binafsi.
Dr Slaa alivyotoka Chadema Tena nyakati za Mwisho na Chadema ilikuwa na nguvu sana,nikasema siwezi kuwa Zombie wakujazwa maneno ya chuki kwa maslahi ya watu wachache.

Kiakili hao Chadema wakitawala hii nchi ndio kutakuwa hamna wizi au Mambo ya hovyo wanayofanya CCM?
 
Kila binadam ana mazuri na mabaya yake, nazani chadema wameamua kuachana na mabaya yake na kumkumbuka kwa mazuri yake kama alivyosisitiza mwenyewe kabla ya kifo chake
Hapana mkuu. CHADEMA ni wanafiki walioshindikana.
 
Aisee kumbe nilikuwa nakosea Sana kuwa serious na mambo ya siasa!Kumbe hata lile la kubadili gia angani halikuacha mafundisho yoyote! Lisu huyu huyu ninaemfahamu au mwingine,ni yule lisu aliekuwa anabishana na yule balozi kule Marekani ati alitaka kuuwawa na KABURI analoenda kuliomba msamaha au naota!
 
Jamaa kashajua mzee baba hakuusika na lile tukio
wakati mwingine ni kusamehe tu yaliyopita, sasa kama hakuhusika ni nani alihusika. Yeye kama mkuu wa nchi na amiri Jeshi mkuu (wakati huo) alikuwa na WAJIBU wa kumkamata aliyehusika ili kujinasua kwenye "kutuhumiwa"

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Sina tatizo na Lissu kwenda kuhiji kaburi la Magu ila ninapata shida kubwa kuendelea kumuelewa huyu bwana maana yeye ndio alituaminisha mambo mengi maovu yalifanywa na bwana yule na akapandikiza chuki kubwa sana kwa wengi wetu lakini leo anageuka.

Kwani ameshindwa kutetea hoja zake na zikaeleweka mpaka amtumie Magu ambaye alimpaka rangi chafu kila kona?
Huwa kuna kusamehe. Yale aliyokuwa anatuhumiwa nayo hayakuwa ya uongo. ila yule mzee kiukweli asingethubutu kugawa maliasili zetu kwa wageni kama anavyofanya huyu mama. kwa hiyo kwenye hichi kipengele Rais aliyepo amekuwa m'bovu kuliko Magu. that's all!

Yesu anaokoa
 
Habari, karibuni katika andiko langu la stories of Change 2023
 
Viongozi wa wilaya wamefika nyumbani kwa familia ya mwendazake kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya Mh. LISSU kufika hapo.

Familia kwa unyenyekevu mkubwa wameridhia kwa masharti ya kupata baraka za Mkuu wa wilaya ya Chato.

Baada ya viongozi kuwasiliana na Mkuu wa wilaya naye ameridhia tukio hill kufanyika.

Kwa hiyo tumejipanga kushiriki TENDO hill kesho asubuhi SAA Nne. Baadaye LISSU ataenda Muganza na BUSERESERE na jioni tena atarudi hapo Chato mjini kumalizia Shughuli.

Wavuvi wote wa ziwani wamechukua Likizo na wamepaki mitumbwi yao pembeni.

Wakulima nao ,wafanyabiashara wote, story ni LISSU na Mbowe. Halo ya hewa ya Wilaya ya Chato ni PiPooooooooooz tupu.

Hata Kama Una njaa hujisikii kula.

Basis kwa sasa ni hayo Chopa ya kamanda wa anga itatatua hapa Kwenye kata ya BUZIKU Kwa mkutano wa kwanza wilayani CHATO na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Uvccm wameapa kutumia hata bomu la.kutupa kwa mkono kuhakikisha wanamuua kabisa kwani risasi zilishindwa kumuua
 
Jamaa kashajua mzee baba hakuusika na lile tukio
Hata kama hakuhusika, bado ataenda na kosa lake la kutochukua hatua kama taasisi ya Urais.
Na hilo litabebwa na watendaji wakuu wote kuanzia Samia, Majaliwa na wengine.
Mahesabu ya Lissu ni wachache tuu wanaweza kutengua
 
Back
Top Bottom