ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Unakosekea kaka usifanye hivi tena 🙏ShesRise_1 tafadhali njoo umchukue kichaa wako huku. Narcistic Personality Disorder is a hell of a disease! 🚮🚮🚮
Unakosekea kaka usifanye hivi tena 🙏ShesRise_1 tafadhali njoo umchukue kichaa wako huku. Narcistic Personality Disorder is a hell of a disease! 🚮🚮🚮
Is narcissism a disease?ShesRise_1 tafadhali njoo umchukue kichaa wako huku. Narcistic Personality Disorder is a hell of a disease! 🚮🚮🚮
Ni ushauri tu. 🤣Why the *** are you even care?
Mtu ambaye ana direction ya uhakika huwa halibu majibu kama haya. Nimekwambia slow down, you'll find your purpose.Is narcissism a disease?
You must be using your ass to think
Mdogo wangu , jitafakari haya yote unafanya kwa ajili ya nani ? Kutafuta attentions? Au kwa ajili ya ustawi wako ?Wewe ndo umeweka hiyo differennce na ukapuku wako? Who are you to decide kuwa maisha ya mtandaoni na binafsi ni tofauti?
Wacha kuongea shitMtu ambaye ana direction ya uhakika huwa halibu majibu kama haya. Nimekwambia slow down, you'll find your purpose.
Hivi huoni kama una shida mahali ? Multiple id's, unarukia kila I'd ya kike na kuanza kui-praise ?
Omba sana na mizimu ya kwenu usiumwe ukalazwa world wide watakujua upo ICU na mitandaoni picha zako zitazagaa ukiomba uchangiwe matibabu, sijasema kwa ubaya lakiniSo kwa mimi mwenyewe tayari nimesha ona.. (I am one of them GOATS to become and the journey begins..)
No one is coming out of this existence aliveOmba sana na mizimu ya kwenu usiumwe ukalazwa world wide watakujua upo ICU na mitandaoni picha zako zitazagaa ukiomba uchangiwe matibabu, sijasema kwa ubaya lakini
Jinx ni kama vile bahati mbaya au mkosi. Hivyo sitaki ujiaribie kuanika kila kitu hadharani sio kila mtu anakutakia mema.Njinx ndo nini
Kuwa straight... Say what you really mean, usiwe na nidhamu ya uoga
Namuona DEO KISANDU AJAE...WA ITVKatika maisha nimekuja kugundua we know exactly who we are, we just try not to act soo
Mimi de Gunner nimekuwa nikiwaambia watu since nikiwa mdogo kabisa ya kuwa am gonna be known worldwide like mtu maarufu na aliecha a big impact but these mediocres Wanaishia kuongea faul words juu yangu..
Now, kila kitu kina anza kumake sense,
Nime amka sasa, kutoka a big slumber..
Najisemea haya maneno leo tarehe 24/8/2026 ya kuwa am gonna be soo popular in this country(2:22) as am writing this..
I know I sound dramatic, ila natamka rasmi ya kuwa by the mpaka kufikia 2030 I'll be one of the most influencial people in Africa then kuanzia hapo mpaka 2040 I'll have been one of the most popular people in the world.. Sio kwamba kila mtu atanijua... Ila the common known people in the world.. I'll be one amongst them..
Wana jamii forum tunzeni haya maneno,
Toka nikiwa mdogo nimekuwa nikiwaambia watu kuhusu mafanikio ya watu toka wakiwa ground zero, na kweli unakuta huyo mtu niliyemsema l anakuja kuwa top notch artists, mwana michezo, au kiongozi in whatever form ya kile kitu anafanya... Mimi sio mtabiri maana mtabiri anakuwa hajui kuhusu mtu, mimi namwona mtu then najua by observation..
So kwa mimi mwenyewe tayari nimesha ona.. (I am one of them GOATS to become and the journey begins..)
Sasa kuna watu watashambulia huu uzi kwa nongwa binafsi, well hiyo ndo itakuwa driving force yangu maana tayari ndo atakuwa kama fuel kuongeza kasi ya mimi kupata juu..
So that's it.. Save the date, save the words...
Miaka ya hivi karibuni hasa 2028 hivi Tanzania Nitakuwa ninaimbwa sana..
By 2030 Africa will be singing my name, by 2040 the whole world gonna know who IAM..
So, ndo ivyo yani nimeshasema. IAM THE NEXT BIG Thing. Because there's no any other option than me winning 🥇