Azma Yangu: Nitakuwa Maarufu Duniani Kufikia 2040

Mtu ambaye ana direction ya uhakika huwa halibu majibu kama haya. Nimekwambia slow down, you'll find your purpose.

Hivi huoni kama una shida mahali ? Multiple id's, unarukia kila I'd ya kike na kuanza kui-praise ?
Wacha kuongea shit
Hunijui na direction bora ungefuata ya kwako kuliko kuja na dumb advice

Umeona wapi Nime praise ID ya kike, mshamba wewe? I'm normally straight forward kuweka nia yangu tena kwa nyuzi. Sio nyie mnaolilia kama watoto wa mama

You've no purpose that's you think I dont
 
So kwa mimi mwenyewe tayari nimesha ona.. (I am one of them GOATS to become and the journey begins..)
Omba sana na mizimu ya kwenu usiumwe ukalazwa world wide watakujua upo ICU na mitandaoni picha zako zitazagaa ukiomba uchangiwe matibabu, sijasema kwa ubaya lakini
 
Omba sana na mizimu ya kwenu usiumwe ukalazwa world wide watakujua upo ICU na mitandaoni picha zako zitazagaa ukiomba uchangiwe matibabu, sijasema kwa ubaya lakini
No one is coming out of this existence alive

Kuumwa na kutokuumwa viko nje ya uwezo wa binadamu

And I don't give a damn about it
 
Mdogo wangu , jitafakari haya yote unafanya kwa ajili ya nani ? Kutafuta attentions? Au kwa ajili ya ustawi wako ?
Hii ni affirmation yangu binafsi. I declare it for me and the world.
 
Njinx ndo nini

Kuwa straight... Say what you really mean, usiwe na nidhamu ya uoga
Jinx ni kama vile bahati mbaya au mkosi. Hivyo sitaki ujiaribie kuanika kila kitu hadharani sio kila mtu anakutakia mema.
 
Namuona DEO KISANDU AJAE...WA ITV
 
Jinx ni kama vile bahati mbaya au mkosi. Hivyo sitaki ujiaribie kuanika kila kitu hadharani sio kila mtu anakutakia mema.
Hizo ni imani potofu..
Infact nimesema kitakacho tokea na sio lipi nitafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ