Azuma na P2 zimeteka soko la madawa muhimu ya binadamu kwa sasa

Azuma na P2 zimeteka soko la madawa muhimu ya binadamu kwa sasa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Dawa hizi muhimu za binadamu zinauzika mno mtaani, mijini na vijijini. Soko lake ni pana na kubwa mno kwa sasa. Store hazikai kabisa, mzigo unatembea fasta mwendo wa ngiri kwenye soko la madawa muhimu ya Binadamu.

Wateja wake wengi sana ni watu wa rika zote. Wabishi kwenda hospital wao hujiuguza kimya kimya kwa hisia, haendi kupima hospital wala maabara ili kubaini hali za afya zao kulingana na wanavyojiskia.

Wao wanakua akipita na pisi kali wakishamalizana kunako 6kwa6 break ni pharmacy kuchukua AZUMA na kuanza kuzifakamia.

P2, ni protector ya kuzuia au kuepusha kushika ujauzito usio kwenye Mipango. Hadi wanafunzi wa sekondari wanazo kwenye mikoba yao ya shule.

Wachapa kazi maofisini, pisi kali mitaani na kwenye taasisi za elimu, P2 ndio kitu muhimu zaidi kilichopo kwenye mikoba yao.

Kuna wakati ziliadimika kidogo pisi kali dogodogo za shule zikaanza kuopt ufirauni eti kukwepa ujauzito kwa mbele.

Kiufupi hizi bidhaa tiba za binadamu zinafanya vuzuri sana sokoni kwa sasa.

Sasa sijui UTI sugu, ugumba na utasa miongoni mwa vijana wengi wasaka watoto kwa sasa bila mafanikio, unaweza kutokana na ufakamiji dawa hizi kiholela.

Una maoni gani..
 
Usiombe upigwe na gono, nakumbuka niliwahi kuchomoka ofisini kwenda Benjamin Mkapa towers kutafuta AZUMA. Hii siku sintoisahau ndio siku niliyoapa kuwa sitopiga kavu tena, ila baada ya kupona nikarudi kwenye kavu ministries. Ila principle yangu kwa sasa nikisikia ki harufu chochote cha ajabu unakuwa disqualified kuendelea na michuano
 
P2, ni protector ya kuzuia au kuepusha kushika ujauzito usio kwenye Mipango. Hadi wanafunzi wa sekondari wanazo kwenye mikoba yao ya shule. wachapa kazi maofisini, pisi kali mitaani na kwenye taasisi za elimu, P2 ndio kitu muhimu zaidi kilichopo kwenye mikoba yao. Kuna wakati ziliadimika kidogo pisi kali dogodogo za shule zikaanza kuopt ufirauni eti kukwepa ujauzito kwa mbele...
Mhh 😁😁
 
Usiombe upigwe na gono, nakumbuka niliwahi kuchomoka ofisini kwenda benjamin mkapa towers kutafuta AZUMA. Hii siku sintoisahau ndio siku niliyoapa kuwa sitopiga kavu tena, ila baada ya kupona nikarudi kwenye kavu ministries. Ila principle yangu kwa sasa nikisikia ki harufu chochote cha ajabu unakuwa disqualified kuendelea na michuano
Nikupe UJANJA hautasumbuliwa tena na hizo U T I
Haya mambo ya AZUMA na ZINDOLIN
nimeshayasahau miaka miwili iliyopita
 
Usiombe upigwe na gono, nakumbuka niliwahi kuchomoka ofisini kwenda benjamin mkapa towers kutafuta AZUMA. Hii siku sintoisahau ndio siku niliyoapa kuwa sitopiga kavu tena, ila baada ya kupona nikarudi kwenye kavu ministries. Ila principle yangu kwa sasa nikisikia ki harufu chochote cha ajabu unakuwa disqualified kuendelea na michuano
🤣aise pole sana
 
Nilijifanya nakaza ila aisee gono!!?? Huwezi kukaza, alafu nimefika pale benjamin jamaa wanaanza kuniuliza maswali mengi nikawaambia, aisee msiniulize maswali nimepata gono nahitaji Azuma kama hamna semeni niondoke
🤣hawajakwambia lete cheti cha daktari
 
Back
Top Bottom