Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakubali akatwe huyu mjinga?Huo nduo uzalendo wanaotakiwa wauongelee, sio kutunyonya sisi wakati wao wanachukua mihela mingi bila kuifanyia kazi
Hukuona wakati wa kampeni akigawa pesa kwa kutumia gari aina ya Alphard? Huyu ni kimeoHuyu alichaguliwa na wajumbe au na mwendazake?
Nalog off
Hatari sana na zile kura za kwenye mabegiHukuona wakati wa kampeni akigawa pesa kwa kutumia gari aina ya Alphard? Huyu ni kimeo
Hapo Zungu kwa ushairi huu anajipendelea mwenyewe kwa vile hiyo kodi inaliwa moja kwa moja na yeye kama mbunge. Bila shaka anahofia uwezo wa serikali kulipa posho zake. Ubinafsi gani huu!Badala ya kupendekeza wafutiwe posho za kukaa Bungeni ili kuipunguziwa serikali mzigo, anapendekeza aina nyingine ya kodi wakati kuingia tu mtandaoni tunakuwa tumelipa kodi kupitia vifurushi!!
Atagombea na watampa kwa wingi zaidi, huwajui watanzania wewe, yani..........Kwa ushauri huo najua hana nia ya kugombea tena ubunge.
Yamejazana mule ndani,kazi yao ni kupiga makelele na kugonga meza tu,kwa kuwa yana uhakika ya kuchota mihela bure bila kuifanyia kazi, yanakera sana hayo majingaAtakubali akatwe huyu mjinga?
Hii compliment ya "mheshimiwa" nadhani ifikiriwe upya, kuna watu wanadhalilisha sana hii title.
Kuna ya kuhuisha fikra. Simu sio anasa kwa zama tulizonazo. Gharana za vifurushi vya simu ilipaswa vilegezwe zaidi, kwa sababu soko la kidigiti ni sehemu nyingine ya ajira kwa vijana, tusirudishane nyuma.Serikali ifanyie kazi Ushauri huu Mzuri sana. Hata isipoitwa kodi ya Uzalendo lakini HAKIKA HIKI NI CHANZO KIZURI SANA CHA MAPATO/KODI KWASABABU TANZANIA HII MTU YUPO RADHI AKOSE VINGINE LAKINI SIO KUKOSA BANDO LA KUCHATI KWENYE GROUP NA TWITTER KUFUATIA MANGE, KIGOGO, KAJALA NA PAULA
Hakuna sheria kama hiyo, hivyo pendekezo halitekelezeki. Kwani kinachokatwa kwa sasa kinahesabiwa kama nini kutoka kwa mtumiaji wa mtandao (vifurushi vya maongezi, vifurushi vya meseji, vifurushi vya data, kila shilingi mia unayoingiza kwenye simu inakatwa shilingi kumi na nane.Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540 kwa kila siku.
View attachment 1758533
Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540 kwa kila siku.
View attachment 1758533