Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Iran yeye anatumia silaha yake,ya shehad drones kuingamiza Ukraine kama mshirika wa Russia mwaka wa 3 huuHow Kamikaze drones destroy UkraineKatika ulimwengu wa teknolojia ya kivita, hakuna kitu kinachotia hofu kama B-2 Spirit, ndege ya kisasa yenye uwezo wa kufanya kile ambacho wengine wanaona kama muujiza. Imetengenezwa kimya kimya na Marekani, na inachukuliwa kuwa ni “ndege isiyoonekana,” yaani haiwezi kugundulika na rada za kawaida wala za kisasa kabisa.
View attachment 3385621
Kwa nini B-2 Spirit inaweza kuangamiza nchi ya Iran kwa siku moja?
1. Uwezo wa Kusafiri Kila Kona Bila Kuzuia
B-2 Spirit inaweza kusafiri umbali mrefu sana bila kujazwa mafuta na inaweza kuzunguka Iran yote bila kugundulika.
2. Silaha Kali za Kipekee
Ndege hii inabeba mabomu makubwa kabisa duniani ikiwemo Massive Ordnance Penetrator (MOP), mabomu ya bunker buster yenye uwezo wa kupenya chini sana ya ardhi na kulipua vitu vilivyojificha kwenye mabunker ya chuma na zege.
3. Kunyemelea Bila Kuonekana
Ndege hii inapenya anga la adui bila hata kuonekana kwenye rada, hivyo inaweza kushambulia maeneo yote muhimu kama viwanda vya nyuklia, kambi za kijeshi, mitambo ya umeme, na miundombinu mikubwa ya taifa la Iran na kufanya yote hayo ndani ya saa chache.
4. Mashambulizi ya Kushtukiza Yanayobadili Mwelekeo wa Vita
Ikiwa na uwezo wa kushambulia kwa haraka na kwa usahihi mkubwa, B-2 Spirit inaweza kulipua maeneo muhimu, kuyafanya yasifanye kazi, na kuivuruga nchi nzima hivyo kuifanya Iran kushindwa kujibu mapigo au kujihami kwa wakati.
Iran iwe makini sana na Marekani inaweza kurudi muda wowote kimya kimya.
Ndo maana watu walikuona chizi ulivyokuwa unachambua gesiInasemekana ndege ya B-2 Spirit imetengenezwa kimya kimya na Marekani, na inachukuliwa kuwa ni “ndege isiyoonekana,” yaani haiwezi kugundulika na rada za kawaida wala za kisasa kabisa.
View attachment 3385621
Kwa nini B-2 Spirit inaweza kuangamiza nchi ya Iran kwa siku moja?
1. Uwezo wa Kusafiri Kila Kona Bila Kuzuia
B-2 Spirit inaweza kusafiri umbali mrefu sana bila kujazwa mafuta na inaweza kuzunguka Iran yote bila kugundulika.
2. Silaha Kali za Kipekee
Ndege hii inabeba mabomu makubwa kabisa duniani ikiwemo Massive Ordnance Penetrator (MOP), mabomu ya bunker buster yenye uwezo wa kupenya chini sana ya ardhi na kulipua vitu vilivyojificha kwenye mabunker ya chuma na zege.
3. Kunyemelea Bila Kuonekana
Ndege hii inapenya anga la adui bila hata kuonekana kwenye rada, hivyo inaweza kushambulia maeneo yote muhimu kama viwanda vya nyuklia, kambi za kijeshi, mitambo ya umeme, na miundombinu mikubwa ya taifa la Iran na kufanya yote hayo ndani ya saa chache.
4. Mashambulizi ya Kushtukiza Yanayobadili Mwelekeo wa Vita
Ikiwa na uwezo wa kushambulia kwa haraka na kwa usahihi mkubwa, B-2 Spirit inaweza kulipua maeneo muhimu, kuyafanya yasifanye kazi, na kuivuruga nchi nzima hivyo kuifanya Iran kushindwa kujibu mapigo au kujihami kwa wakati.
Iran iwe makini sana na Marekani inaweza kurudi muda wowote kimya kimya.
Israel hii hii inayoongoza kwa dini ya mayahudi,na ina waislam wengi zaidi ya mara tano ya wakristo?WAISLAM NI MARA TANO YA WAKRISTO PALE ISRAEL😃😃Endeleeni kusambaza taarifa kama mlivyoambiwa kanisani ili kumlinda Mungu wenu wa pale Israel 🤣🤣...
tulidanganywa hivi hivi Tena kwa style hii hii kuhusu IRON DOME. Leo hii hata kuitamka hadharani limekuwa jambo la Aibu
Karibu kwenye ulimwengu wa gesi na mafuta mkuu. Unataka nikuchambulie gesi lipi: Gesi ya Helium, gesi asilia, LPG, LNG, CNG, PNG, NGL, CBG, NGH, Sour Gas, Water Gas, Syn Gas, au Hydrogen gesi.Ndo maana watu walikuona chizi ulivyokuwa unachambua gesi
Angesifia drone za Iran ungemsifia! Maandazi ni nani sasa kati yake na wewe!?Ushabiki maandazi huu