Angechambua makombora ya Iran ungeshangilia na kumuona mtu wa maana sana! Udini utawaua.Ushashiba kande hapo ilomba unakuja na uchambuzi WA B- 2?
Hawajawahi kumiliki akili.KOBAZI WANASEMA KINU HAKIKUHARIBIWA
KAMA NI KWELI TUNAWAPA MWEZI WAWE NA BOMU LA NYUKLIA[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi akili za konazi zinakuwaga kwenye kanzu au!!!![emoji16]
Waipeleke Ukrain tujue kama haionekaniInasemekana ndege ya B-2 Spirit imetengenezwa kimya kimya na Marekani, na inachukuliwa kuwa ni “ndege isiyoonekana,” yaani haiwezi kugundulika na rada za kawaida wala za kisasa kabisa.
View attachment 3385621
Kwa nini B-2 Spirit inaweza kuangamiza nchi ya Iran kwa siku moja?
1. Uwezo wa Kusafiri Kila Kona Bila Kuzuia
B-2 Spirit inaweza kusafiri umbali mrefu sana bila kujazwa mafuta na inaweza kuzunguka Iran yote bila kugundulika.
2. Silaha Kali za Kipekee
Ndege hii inabeba mabomu makubwa kabisa duniani ikiwemo Massive Ordnance Penetrator (MOP), mabomu ya bunker buster yenye uwezo wa kupenya chini sana ya ardhi na kulipua vitu vilivyojificha kwenye mabunker ya chuma na zege.
3. Kunyemelea Bila Kuonekana
Ndege hii inapenya anga la adui bila hata kuonekana kwenye rada, hivyo inaweza kushambulia maeneo yote muhimu kama viwanda vya nyuklia, kambi za kijeshi, mitambo ya umeme, na miundombinu mikubwa ya taifa la Iran na kufanya yote hayo ndani ya saa chache.
4. Mashambulizi ya Kushtukiza Yanayobadili Mwelekeo wa Vita
Ikiwa na uwezo wa kushambulia kwa haraka na kwa usahihi mkubwa, B-2 Spirit inaweza kulipua maeneo muhimu, kuyafanya yasifanye kazi, na kuivuruga nchi nzima hivyo kuifanya Iran kushindwa kujibu mapigo au kujihami kwa wakati.
Iran iwe makini sana na Marekani inaweza kurudi muda wowote kimya kimya.
Kwahiyo Iran ndo inatetea Ukristo? Na vipi kama wanaiunga mkono USA inayoilinda Israel?Wakristo wapumbavu wanaoamini Israel taifa lenye dini ya kiyahudi,linatetea ukristo.........bado wanaamini huu ujinga[emoji38][emoji38][emoji3]
Kwani Israel imeangushwa? Tupime nani kapata madhara makubwa kati yaoUjinga mtupu, mbona mpaka sasa Iran bado haijaangushwa
Lengo la Irani lilikuwa kuichapa Israel na hiyo kazi imeshafanyika basi inatoshaInasemekana ndege ya B-2 Spirit imetengenezwa kimya kimya na Marekani, na inachukuliwa kuwa ni “ndege isiyoonekana,” yaani haiwezi kugundulika na rada za kawaida wala za kisasa kabisa.
View attachment 3385621
Kwa nini B-2 Spirit inaweza kuangamiza nchi ya Iran kwa siku moja?
1. Uwezo wa Kusafiri Kila Kona Bila Kuzuia
B-2 Spirit inaweza kusafiri umbali mrefu sana bila kujazwa mafuta na inaweza kuzunguka Iran yote bila kugundulika.
2. Silaha Kali za Kipekee
Ndege hii inabeba mabomu makubwa kabisa duniani ikiwemo Massive Ordnance Penetrator (MOP), mabomu ya bunker buster yenye uwezo wa kupenya chini sana ya ardhi na kulipua vitu vilivyojificha kwenye mabunker ya chuma na zege.
3. Kunyemelea Bila Kuonekana
Ndege hii inapenya anga la adui bila hata kuonekana kwenye rada, hivyo inaweza kushambulia maeneo yote muhimu kama viwanda vya nyuklia, kambi za kijeshi, mitambo ya umeme, na miundombinu mikubwa ya taifa la Iran na kufanya yote hayo ndani ya saa chache.
4. Mashambulizi ya Kushtukiza Yanayobadili Mwelekeo wa Vita
Ikiwa na uwezo wa kushambulia kwa haraka na kwa usahihi mkubwa, B-2 Spirit inaweza kulipua maeneo muhimu, kuyafanya yasifanye kazi, na kuivuruga nchi nzima hivyo kuifanya Iran kushindwa kujibu mapigo au kujihami kwa wakati.
Iran iwe makini sana na Marekani inaweza kurudi muda wowote kimya kimya.
Kakofia kadogo hata Iran wanavaa sema kingine. Madera mbona kwenu ndo vazi rasmi!? Nasikia kuhiji huwa mnavua dera na kubaki mwaaaa!Wale wavaa madera meupe kule kanisani na kakofia kadogo kama ganda la chungwa ndo waliwadanganya hivyo jumapili?
Drone za Iran zimefaya nini ? Mie ni Jews bro ninae ongea na weweAngesifia drone za Iran ungemsifia! Maandazi ni nani sasa kati yake na wewe!?
Punguza kuandika comment ndefu sina muda wa kusomaKakofia kadogo hata Iran wanavaa sema kingine. Madera mbona kwenu ndo vazi rasmi!? Nasikia kuhiji huwa mnavua dera na kubaki mwaaaa!
Zote chambua mkuu tutasoma anza na hio ya mwishoKaribu kwenye ulimwengu wa gesi na mafuta mkuu. Unataka nikuchambulie gesi lipi: Gesi ya Helium, gesi asilia, LPG, LNG, CNG, PNG, NGL, CBG, NGH, Sour Gas, Water Gas, Syn Gas, au Hydrogen gesi.
Iran inatetea Uislam,na shia Muslim hata Tanzania wapoKwahiyo Iran ndo inatetea Ukristo? Na vipi kama wanaiunga mkono USA inayoilinda Israel?
Mwaaa ndio nini?Kakofia kadogo hata Iran wanavaa sema kingine. Madera mbona kwenu ndo vazi rasmi!? Nasikia kuhiji huwa mnavua dera na kubaki mwaaaa!
Nani aliomba ceasefire?Kwani Israel imeangushwa? Tupime nani kapata madhara makubwa kati yao
Mwambie Israeli akanunue basi. Ili afute aibu ya kipigo cha Iran.Inasemekana ndege ya B-2 Spirit imetengenezwa kimya kimya na Marekani, na inachukuliwa kuwa ni “ndege isiyoonekana,” yaani haiwezi kugundulika na rada za kawaida wala za kisasa kabisa.
Ukisikia ule ujinga tuliokua tunajazana enzi zile kwenye movie za kihindi ndio huuInasemekana ndege ya B-2 Spirit imetengenezwa kimya kimya na Marekani, na inachukuliwa kuwa ni “ndege isiyoonekana,” yaani haiwezi kugundulika na rada za kawaida wala za kisasa kabisa.
View attachment 3385621
Kwa nini B-2 Spirit inaweza kuangamiza nchi ya Iran kwa siku moja?
1. Uwezo wa Kusafiri Kila Kona Bila Kuzuia
B-2 Spirit inaweza kusafiri umbali mrefu sana bila kujazwa mafuta na inaweza kuzunguka Iran yote bila kugundulika.
2. Silaha Kali za Kipekee
Ndege hii inabeba mabomu makubwa kabisa duniani ikiwemo Massive Ordnance Penetrator (MOP), mabomu ya bunker buster yenye uwezo wa kupenya chini sana ya ardhi na kulipua vitu vilivyojificha kwenye mabunker ya chuma na zege.
3. Kunyemelea Bila Kuonekana
Ndege hii inapenya anga la adui bila hata kuonekana kwenye rada, hivyo inaweza kushambulia maeneo yote muhimu kama viwanda vya nyuklia, kambi za kijeshi, mitambo ya umeme, na miundombinu mikubwa ya taifa la Iran na kufanya yote hayo ndani ya saa chache.
4. Mashambulizi ya Kushtukiza Yanayobadili Mwelekeo wa Vita
Ikiwa na uwezo wa kushambulia kwa haraka na kwa usahihi mkubwa, B-2 Spirit inaweza kulipua maeneo muhimu, kuyafanya yasifanye kazi, na kuivuruga nchi nzima hivyo kuifanya Iran kushindwa kujibu mapigo au kujihami kwa wakati.
Iran iwe makini sana na Marekani inaweza kurudi muda wowote kimya kimya.
Na Waislamu wanaoiabudu Mecca, ya Saud Arabia (mshirika mkubwa wa USA na Israel), tuwaiteje??Wakristo wapumbavu wanaoamini Israel taifa lenye dini ya kiyahudi,linatetea ukristo.........bado wanaamini huu ujinga😆😆😀
Na Waislamu wanaoiabudu Mecca, ya Saud Arabia (mshirika mkubwa wa USA na Israel), tuwaiteje??