B-2 Spirit: Ndege Inayoweza Kuiangamiza Nchi ya Iran Kwa Siku Moja

Wale wavaa madera meupe kule kanisani na kakofia kadogo kama ganda la chungwa ndo waliwadanganya hivyo jumapili?
 
KOBAZI WANASEMA KINU HAKIKUHARIBIWA

KAMA NI KWELI TUNAWAPA MWEZI WAWE NA BOMU LA NYUKLIA[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hivi akili za konazi zinakuwaga kwenye kanzu au!!!![emoji16]
Hawajawahi kumiliki akili.
 
Waipeleke Ukrain tujue kama haionekani
 
Wakristo wapumbavu wanaoamini Israel taifa lenye dini ya kiyahudi,linatetea ukristo.........bado wanaamini huu ujinga[emoji38][emoji38][emoji3]
Kwahiyo Iran ndo inatetea Ukristo? Na vipi kama wanaiunga mkono USA inayoilinda Israel?
 
Lengo la Irani lilikuwa kuichapa Israel na hiyo kazi imeshafanyika basi inatosha

Hayo mengine yenu Irani Wala hayawahusu
 
Wale wavaa madera meupe kule kanisani na kakofia kadogo kama ganda la chungwa ndo waliwadanganya hivyo jumapili?
Kakofia kadogo hata Iran wanavaa sema kingine. Madera mbona kwenu ndo vazi rasmi!? Nasikia kuhiji huwa mnavua dera na kubaki mwaaaa!
 
Karibu kwenye ulimwengu wa gesi na mafuta mkuu. Unataka nikuchambulie gesi lipi: Gesi ya Helium, gesi asilia, LPG, LNG, CNG, PNG, NGL, CBG, NGH, Sour Gas, Water Gas, Syn Gas, au Hydrogen gesi.
Zote chambua mkuu tutasoma anza na hio ya mwisho
 
Inasemekana ndege ya B-2 Spirit imetengenezwa kimya kimya na Marekani, na inachukuliwa kuwa ni “ndege isiyoonekana,” yaani haiwezi kugundulika na rada za kawaida wala za kisasa kabisa.
Mwambie Israeli akanunue basi. Ili afute aibu ya kipigo cha Iran.
 
Ukisikia ule ujinga tuliokua tunajazana enzi zile kwenye movie za kihindi ndio huu

Nothing charkarabourty na Amithamb bachchan wa India
 
si kila mchezaji anaweza/aliweza kucheza kama marehemu idd seleman kidobe a.k.a meya/mchezaji kirakauwanjani (tupunguze ujuaji).
 
Wakristo wapumbavu wanaoamini Israel taifa lenye dini ya kiyahudi,linatetea ukristo.........bado wanaamini huu ujinga😆😆😀
Na Waislamu wanaoiabudu Mecca, ya Saud Arabia (mshirika mkubwa wa USA na Israel), tuwaiteje??
 
Yes hao wakishabikia Saudi Arabia watakua wanaakili,maana ndio makao makuu ya Sunni Islam,.......Saudi ni mshirika wa U.S kibiashara,.....hata Iran kwenye Uislam ni mshirika wa biashara wa Russia kwenye wakristo wengi(Orthodox church)😁😆
Unajua ujinga ni nini?
Kushabikia Israel ni taifa teule linatetea ukristo,huku Israel ikiwa na waislamu wengi mara tano kuliko wakristo,............na wayahudi ni wapinga kristo namba mojaISRAEL INA WAISLAMU WENGI KULIKO WAKRISTO😄😆😃
Na Waislamu wanaoiabudu Mecca, ya Saud Arabia (mshirika mkubwa wa USA na Israel), tuwaiteje??
 
Imetengenezwa kimya kimya!? Unafahamu kuwa hiyo ndege ina miaka 30+ tokea kutengenezwa kwake!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…