B-2 Spirit: Ndege Inayoweza Kuiangamiza Nchi ya Iran Kwa Siku Moja

muslims ni minority 18.2 %, , ISRAEL ni Jewsh state, na Jews (wayahudi) siyo wakristo, ila ni wapinga kristo, baadhi ya madhehebu ya kikristo wanaamini kuwa nchi ya ISRAEL (siyo wayahudi) ni taifa teule la MUNGU, hiyo ni tafsri tofauti ya madhehebu na si wakristo wote.
Hiyo knowledge yako kuhusu uhusiano wa ukristo na israel ni generalization inayotokana na ujinga wa maarifa ya dini
 

Naunga mkono hoja,ISRAEL INA WAISLAM WENGI KULIKO WAKRISTO,
Naunga mkono hoja,ni UPUMBAVU wa madhehebu machache ya kikristo,ie.wale wakristo wachache wapumbavu,........wanaoamini Wayahudi wanatetea ukristo😀😃😃
 
Naunga mkono hoja,ISRAEL INA WAISLAM WENGI KULIKO WAKRISTO,
Naunga mkono hoja,ni UPUMBAVU wa madhehebu machache ya kikristo,ie.wale wakristo wachache wapumbavu,........wanaoamini Wayahudi wanatetea ukristo😀😃😃
yah, lakini Israel ni Taifa la kiyahudi (JEWISH STATE), hizo dini zingine hata wangewazidi wayahudi kwa uwingi wa population, wanakuwa treated as minority/aliens. Kwa wayahudi JESUS wanamwona ni mzushi/tapeli

View: https://www.tiktok.com/@larocheguylain/video/7364071112868662529?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Basi utamsikia Mmarekani wa Mbagala''Iran hatuwezi kabisa"...
 
Duh hii facts waswahili wengi hasa wale wanaoweka vibendera vya Israel kwenye gari zao,hawaijui
pastors na waumini wa kikristo ni imbecels/wajinga sana (mimi pia ni mkristo wa Anglican), wanaenda kuhiji ISRAEL na kurudi na viudongo, hija ya ISRAEL ni uzushi wa na utapeli wa kibishara ya makanisa na mawakala (agencies), HAIJAANDIKWA POPOTE KTK BIBLIA ila tunaaminishwa kuwa ukienda unapata miujiza.
wachungaji eti waniombea Israel kupitia JESUS ambaye wayahudi wanamwona ni tapeli, na alistahili kusulubiwa
 
MKUU UMEKARIRI..
Kwa sasa ni ndege inayoonekana kwa rada za nchi nyingi. miaka kumi nyuma haya yalikuwa sahihi...
 
MKUU UMEKARIRI..
Kwa sasa ni ndege inayoonekana kwa rada za nchi nyingi. miaka kumi nyuma haya yalikuwa sahihi...
Waliingia Iran, kwa sasabu ADS zilikuwa zimepigwa chini. Zingekuwa on wasinge ingia mle
 
MKUU UMEKARIRI..
Kwa sasa ni ndege inayoonekana kwa rada za nchi nyingi. miaka kumi nyuma haya yalikuwa sahihi...
Limitations and Countermeasures of B-2
  • Not Completely Invisible:
    While highly stealthy, the B-2 is not completely invisible to radar. Certain radar frequencies and advanced systems can detect it, but at potentially shorter ranges and with greater difficulty.
 
Ujinga tu embu kaangalie katuni ukuwe
 
Ila utajiri wote wa MO Dewj, unanunua B-2 moja tu ($2.1bn), na atakuwa anadaiwa $0.1bn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…