PreGE2025 B Dozen: Kupiga Kura ni suala la msingi sana, linakuwezesha kupata Kiongozi ambaye unamtaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Akizungumzia mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini, Hamisi B. Mandi “B Dozen” ambaye ni Mtangazaji Clouds FM amesema:

Kupiga Kura ni suala la msingi sana, linakuwezesha kupata kiongozi ambaye unamtaka, kutopiga Kura kunaweza kukufanya kupata Kiongozi ambaye hukumchagua, hivyo ni muhimu kujiandikisha au kuhakiki taarifa zako katika Daftari la Kupiga Kura ili uweze kushiriki katika Uchaguzi.

1742559557046.png
Soma, Pia
 
Ndiyo nani huyo au mkata maunooo

Ova
 
Aache ujinga wake au abaki nao hukohuko Studio kwao
 
Akizungumzia mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini, Hamisi B. Mandi “B Dozen” ambaye ni Mtangazaji Clouds FM amesema:

Kupiga Kura ni suala la msingi sana, linakuwezesha kupata kiongozi ambaye unamtaka, kutopiga Kura kunaweza kukufanya kupata Kiongozi ambaye hukumchagua, hivyo ni muhimu kujiandikisha au kuhakiki taarifa zako katika Daftari la Kupiga Kura ili uweze kushiriki katika Uchaguzi.

Soma, Pia
 
Attachments

  • 5811771-84b12f6d5ff81d807821a183416ac2ed.mp4
    648.4 KB
Kupiga kura? Mbona hawazungumzii uchaguzi huru na haki. Ama kweli hili ni taifa la wajinga
 
Back
Top Bottom