Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Ndiyo nani huyo au mkata maunoooAkizungumzia mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini, Hamisi B. Mandi “B Dozen” ambaye ni Mtangazaji Clouds FM amesema:
Kupiga Kura ni suala la msingi sana, linakuwezesha kupata kiongozi ambaye unamtaka, kutopiga Kura kunaweza kukufanya kupata Kiongozi ambaye hukumchagua, hivyo ni muhimu kujiandikisha au kuhakiki taarifa zako katika Daftari la Kupiga Kura ili uweze kushiriki katika Uchaguzi.
Nchi kuna watu akili ndogo lakini wanataka kujifanya akili kubwaMpuuzi naye anajiwekea AIRTIME kuchambua ujinga wake badala kudai katiba mpya
Aisee!!👿Nchi kuna watu akili ndogo lakini wanataka kujifanya akili kubwa
Ova
Ukiona hivyo anataka kuwa DASMpuuzi naye anajiwekea AIRTIME kuchambua ujinga wake badala kudai katiba mpya
Ndiyo mfumo wa CCMNchi kuna watu akili ndogo lakini wanataka kujifanya akili kubwa
Ova
KabisaNdiyo mfumo wa CCM
CCM imejaa majangili tupu
Akizungumzia mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini, Hamisi B. Mandi “B Dozen” ambaye ni Mtangazaji Clouds FM amesema:

Soma, Pia