B Dozen, Oscar, Kitenge na Hando wameondoka EFM. Kitenge na Hando watua Wasafi

Anna Nkya

Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
69
Reaction score
341
Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba B Dozen ameondoka EFM na kutaka kurudi Clouds. Hata hivyo hawajareach agreement na Clouds, at the same time Wasafi wanamnyatia.

Oscar Oscar ameondoka EFM, Amejiunga na Wasafi kwa signing fee ya shilingi milioni 100. Mshahara wake kwa mwezi ni shilingi milioni 6.5.

Gerald Hando naye amejiunga na Wasafi akitokea EFM.

Maulid Kitenge yuko kwenye hati hati. Diamond anataka kumpa milioni 200 na Range Rover. Wako hatua nzuri hasa ukizingatia kwamba Hando na Oscar ambao ni marafiki zake wakubwa wameshaaenda EFM.

Ni test ngumu kwa Majizzo, akivuka salama hapa EFM haitashuka hata siku 1.
 

Attachments

  • 2416943_1591178063185.jpg
    25.8 KB · Views: 17
  • oscar.png
    103.5 KB · Views: 18
  • Z_mysbBP_400x400.jpg
    20.8 KB · Views: 15
  • jUuvtG0z_400x400.jpg
    15 KB · Views: 20
Katika mind games basi Majizo ameweza kuwahadaa watanzania wengi
 
Msiwe mnawadanganya vijana wasio jua kitu

Tanzania hakuna media inayolipa zaidi million tatu kwa mtangazaji

Signing fee ya nyiok? Yaani Tanzania siku hizi ukiomba kazi unalipwa?

Wasafi inampa faida ngapi kusaga hadi afanye huo upuuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…