uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Humu mitoto inaropoka tu watangazaji tena hivi vya fm vunapewa laki mbili mpaka milion haivuki hapo na hakuna mkataba
Duuh,kumbe wanalipwa parefu hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh,kumbe wanalipwa parefu hivyo
Hata mimi nimeshangaa na kujiuliza ina maana hawa wamiliki wa hizi media wana ukwasi kiasi gani na wanaingiza sh ngapi?Msiwe mnawadanganya vijana wasio jua kitu
Tanzania hakuna media inayolipa zaidi million tatu kwa mtangazaji
Signing fee ya nyiok? Yaani Tanzania siku hizi ukiomba kazi unalipwa?
Wasafi inampa faida ngapi wasafi hadi afanye huo upuuz
Sasa hiyo nukuu ni kwa yule aliyenda shule.Ni uandishi wa habari sio uhandishi wa habari. Huko shuleni mnaenda kusomea ujinga?( Bibi kizee FaizaFoxy )
Kula chuma hiyoooo🤓🤓🤓Uandishi wa habari bongo kumbe unalipa mil100 na gari juu aiseeee
Acha tu niburudike na mastori ya jf 😀Kula chuma hiyoooo🤓🤓🤓
Kivumbi leoKula chuma hiyoooo🤓🤓🤓
Tutafanyaje na hapo wanasema wanawataka wa degreeAcha tu niburudike na mastori ya jf 😀
Nilishakaa karibu na watangazaji wa RFA na kiss .Bwiru place -Mwanza walikuwa na njaaa ya hatari wangeweza kula hata magodoro.Ungekuwa unajua mishahara ya watangazaji usingeandika hivi
Nilishakaa karibu na watangazaji wa RFA na kiss .Bwiru place -Mwanza walikuwa na njaaa ya hatari wangeweza kula hata magodoro.
Ila wewe hautokufaaKumbe uhandishi wa habari una pesa hivi duuh