B Dozen, Oscar, Kitenge na Hando wameondoka EFM. Kitenge na Hando watua Wasafi

B Dozen, Oscar, Kitenge na Hando wameondoka EFM. Kitenge na Hando watua Wasafi

Labda watangazaji wa manara TV na Kishki TV ndo wana maisha magumu. Hizo fani siku hizi ni neema kwa vijana kama zali likidondoka na ukakigundua kipaji chako mapema. Media zina pesa sana! Nafahamiana na watangazaji kadhaa na waandishi wa habari... wana maisha mazuri sana! Usikariri na kubebelea kila ukisikiacho.
Mmmh
 
Signing fee milioni 100?embu naomba ufafa uzi unamaanisha nn hapa?
 
Ni mwehu peke yake ndio atakataa biashara iliyopo kwenye media kipindi iki izo hela zinazosemwa watu wanalipwa 80% ni kweli kitenge alirudishwa EFM kutoka wasafi kwa kibunda cha mahana siyo mchezo wamiliki wa media wanapiga hela sana EFM,WASAFI&CLOUDS

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom