B Dozen, Oscar, Kitenge na Hando wameondoka EFM. Kitenge na Hando watua Wasafi

B Dozen, Oscar, Kitenge na Hando wameondoka EFM. Kitenge na Hando watua Wasafi

Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba B Dozen ameondoka EFM na kutaka kurudi Clouds. Hata hivyo hawajareach agreement na Clouds, at the same time Wasafi wanamnyatia.

Oscar Oscar ameondoka EFM, Amejiunga na Wasafi kwa signing fee ya shilingi milioni 100. Mshahara wake kwa mwezi ni shilingi milioni 6.5.

Gerald Hando naye amejiunga na Wasafi akitokea EFM.

Maulid Kitenge yuko kwenye hati hati. Diamond anataka kumpa milioni 200 na Range Rover. Wako hatua nzuri hasa ukizingatia kwamba Hando na Oscar ambao ni marafiki zake wakubwa wameshaaenda EFM.

Ni test ngumu kwa Majizzo, akivuka salama hapa EFM haitashuka hata siku 1.
Hii project ya galacticos wa utangazaji itafeli kama ile galacticos ya pale Santiago Bernabeu ndani ya jiji la Madrid.
 
Ni kati ya 3.8M - 4.8M kutegemea na rank Associate professor - Full professor. Maprofesa ambao utawaona wapo vizuri kiuchumi huwa hawategemei mishahara sana utakuta ni miradi na tafiti hizo ndio huwa zinawaletea mpunga mrefu, wakikosa hizo au wakichoka ndio utawaona wanakimbilia kwenye siasa.

Kuna wengine ambao wamestaafu lakini wanaendelea kufundisha bila mkataba wa kueleweka (wanapiga semester to semester) ukisikia hela wanayolipwa ni frustrations, huwa wanafanya ili angalau kujiweka busy tu asikae nyumbani akapata msongo.
Dr anachukua 4.5 M
 
Nyie mkija kujua hii biashara mtakua mmechelewa sana. Hao mnaoona wanatamba na kuona wana hela ni juhudi zao binafsi matangazo na kazi zingine mishahara yao midogo sana media nyingi hazina hela na hata wakiwa nazo bado hawalipi vizuri
 
Back
Top Bottom