ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
MmmhLabda watangazaji wa manara TV na Kishki TV ndo wana maisha magumu. Hizo fani siku hizi ni neema kwa vijana kama zali likidondoka na ukakigundua kipaji chako mapema. Media zina pesa sana! Nafahamiana na watangazaji kadhaa na waandishi wa habari... wana maisha mazuri sana! Usikariri na kubebelea kila ukisikiacho.