Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Sio ya Ben Kinyaiya.Kama mnaiongelea Pub ya Ben Kinyaiya yule ni rafiki wa Wacongo.
Wacongo kwenye ndumba ni hatari, Ona kitambaa cheupe ya binti wa King Kii.
Ben Pub ilikuwa ya baba/kaka mmoja alikuwa na ki dispensary chake nyuma ya ile pub, japo wanasema alikuwa shear holder, ila tulikuwa tunamjua yeye ndio mmiliki mkuu pekee.