Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Ok pale napapata, nasikia pale ukileta fyokooo, njeeee, safi sana!!Watoto wa manjunju wa kutosha aloo acha kabisa miyeyusho sana marneo yale sema siku ambazo hakuna events ndio kuna utulivu kidogo unaweza ukakaa ukaangalia hapa mipira mipira watu wengi saivi wanapenda hapa barabaran hapa sheli ya mwanamboka kwa pemben kuna sehemu inatwa las karinyo ndio afadhali kuna ustaarabu na sababu ni sehemu ya askari,
Na mwaka jana nilipokuja Dar nilienda hapo Las Carinyo Kuna vibe si la kitoto, ni kama la huku Dodoma wanapaita the Bistro, ikifikas saa 3 usiku jiandae kusimama, vibe lake balaa.
Angalau sahv kwenye hizi bar zenye mikeshesho kuna namna wanatufurahisha wateja wao...🍻🍻.
Sehemu ambako sijawahi kukanyaga ni Kitambaa cheupe zote, maana wakati zinaanzishwa nilikuwa huku Dom....😕
Sema nini, wanawake huwa tunapenda sana kunywa na kucheza muziki sehemu zenye wahuni....vibe linapanda🤗🤗🤗