BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Next ni Goba na Mbezi ya Kimara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Makao makuu ya GonorrheaEnzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi.
Siku hizi Tabata unakutana na Small Planet, Kitambaa Cheupe, Barakuda, The Great, Kwetu Pazuri(Twest) na nyinginezo nyingi zinazoibuka kila mahali.
Leo asubuhi nawahi kazini nakutana na convo imebebana wamelewa chakari na vyupa mkononi, nikasema kweli Tabata imekuwa mpya. Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu.
Nadhani siku hizi watu wa Sinza ni kama wamekuwa wanapenda bar za indoor, hizo ndizo zimekuwa mashuhuri kuliko za wazi.Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi.
Siku hizi Tabata unakutana na Small Planet, Kitambaa Cheupe, Barakuda, The Great, Kwetu Pazuri(Twest) na nyinginezo nyingi zinazoibuka kila mahali.
Leo asubuhi nawahi kazini nakutana na convo imebebana wamelewa chakari na vyupa mkononi, nikasema kweli Tabata imekuwa mpya. Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu.
Acha tu
C Park Matema na Ben, ilikuwa unavuka tu barabara.
Tukitoka hapo tunakutana PapiChulo.
Hv unakumbuka Ben Pub na ule mlango wa tinted?
Unajua bado hakujakucha, ukifungua mlango tu, saa 4 asubuhi ... nachoka hoi[emoji3061][emoji11][emoji11]
Hatimaye nimekutana na mwana Kisarawe mwezangu.. long time mzee.. cinema hapo Nkrumah ilikuwa ni New Chox, tizama sana movie za kihindi, movie zilikuwa na break manina😂. Tunaenda break tunarudi tena.. waaay back 🙌🏽Enzi hizo mzee yuko hai nimekulia hapo mtaa wa Nkrumah karibia na roundabout ya mnara wa saa nimesomea primary hapo kidongo che kundu ile shule zamani ikiitwa kisarawe primary baadae ikawa sekondar dar es salaam sekondari, but since mzee alipofariki mambo yote Yakaparanganika yalikuja kukaa sawa tulipokuja kuwa wakubwa na kuwa na Mishe zetu, but kipindi mile nakua maeneo yangu ya kuzurura kuanzia posta kula samaki jioni naenda kuangalia mazoezi ya yanga usiku tunaenda cinema hapohapo mtaani kwetu nkrumah au beach tunaenda na watoto wa kihindi but mzee alipofariki ndipo nilipojua kwamba kuna shida duniani na ndugu ni mbwa sio ndugu.
Mule mule mzee.. tuendelee kuzisaka ngawira. Itapendeza sana ndoto zikitimia.Nipo nawapambania wanangu nao waje waonje maisha kama aliyotupa mshua, pia Nina ndoto ya kumiliki nyumba eidha upanga, kariakoo au gerezani nilipokulia
Siku nyingine ikikutokea osha kidole au mjegeje kwa bia yoyote, harufu inakataMambo haya nishawahi kuwasimulia wana walikataa wakati mimi ilinitokea.
Nilimbanduaga mwanamke, ile harufu ilitoka baada ya siku nne.
Nilikuwa nikijifunika shuka shuka nasikia harufu chafu tu, kidole nilichopigia finga hata nioshe lakini baada ya muda nasikia harufu ya ukuma.
Madam,nitakuchek nipo Dodoma piaNiliacha kutoka night-club asubuhi baada ya kukutana na wanafunzi wangu barabarani mitaa ya Ben Pub Kinondoni wanaelekea kanisani.
Niko chweeee.....wakanipokea mkoba nayumba balaa.
Mpaka leo, ikifika saa 8 usiku ni mwisho wa kukaa bar/nightclub.
Sitaki dhalili mimi.
Bia ni kwa wale wanaotaka matraako anapaka kila siku kwenye makalio na shepu yake kama ni mwanamke ataleta mrejesho,,, unataka mjegeje wake unenepeane?Siku nyingine ikikutokea osha kidole au mjegeje kwa bia yoyote, harufu inakata
Duniani kuna shida, na ndugu ni mbwa siyo ndugu"Enzi hizo mzee yuko hai nimekulia hapo mtaa wa Nkrumah karibia na roundabout ya mnara wa saa nimesomea primary hapo kidongo che kundu ile shule zamani ikiitwa kisarawe primary baadae ikawa sekondar dar es salaam sekondari, but since mzee alipofariki mambo yote Yakaparanganika yalikuja kukaa sawa tulipokuja kuwa wakubwa na kuwa na Mishe zetu, but kipindi mile nakua maeneo yangu ya kuzurura kuanzia posta kula samaki jioni naenda kuangalia mazoezi ya yanga usiku tunaenda cinema hapohapo mtaani kwetu nkrumah au beach tunaenda na watoto wa kihindi but mzee alipofariki ndipo nilipojua kwamba kuna shida duniani na ndugu ni mbwa sio ndugu.
Sijaelewa hapa, yani bia inakuza makalio ya wanawake Kwa kujipaka?Bia ni kwa wale wanaotaka matraako anapaka kila siku kwenye makalio na shepu yake kama ni mwanamke ataleta mrejesho,,, unataka mjegeje wake unenepeane?
Mwaka 2010,nilipata demu mkali hatari,alikua anasoma IFM,nilimpa pesa,mitoko ya maana sana,kipindi hicho City Garden Dar Es Salaam na Club Bilicanas zinakimbiza balaaa!!Bia ni kwa wale wanaotaka matraako anapaka kila siku kwenye makalio na shepu yake kama ni mwanamke ataleta mrejesho,,, unataka mjegeje wake unenepeane?
Sehemu zikijaa mabar pub hapafai,sinza kwenyewe sy sehemu ya kuishi na familiaWAcha ziendee
Zimeuaaa nduguu wengi Sanaa
Ndo ivyo nimeropoka nimetoa siri ya kambiSijaelewa hapa, yani bia inakuza makalio ya wanawake Kwa kujipaka?
Hongera kwa kumtibisha dada wa watuMwaka 2010,nilipata demu mkali hatari,alikua anasoma IFM,nilimpa pesa,mitoko ya maana sana,kipindi hicho City Garden Dar Es Salaam na Club Bilicanas zinakimbiza balaaa!!
Siku moja baada ya miezi sita akasema nakuja kwako,nikasema leo ndiyo leo,labda awe period la sivyo nakula mzigo!
Demu kafika gheto,kaoga kafanya usafi,kapika tukala! Tukiwa pale pale kwenye kochi,nikaanza chombeza,nikaanza kula mate,kupiga finger hivi,nikatoka na harufu kali sana, harufu mithili ya wale samaki aina wa ng'onda, wenyeji wa Lindi na Mtwara wataelewa..
Mwili ukawa unagoma kabisa kuendelea,lakini Abdallah kichwa wazi hataki kabisa kuachia mechi,alitaka kuzama kunako gizani nakuchungulia kuna nini??
Nikazamisha mpini kunako kinu,ile pump ya kwanza tu,harufu ilitoka kali sana,hadi Dulla mwenyewe akapoa,nikafungua madirisha yote walau hewa ipite wapi, nikaenda kunawa kidole changu na dula nae anawe wapi, harufu iko pale pale,nikaoga kwa sababu ya Imperial na Detal juu wapi, harufu iko pale pale, nikarudi sebuleni, nikamkuta demu analia,anasema yeye kila mwanaume hua anamkimbia nakumuacha sababu ya hiyo kitu!
Nikawa na mimi nimepanic,nikasema haina neno,kesho tutaenda kwa Dkt,akucheki tuone shida ni nini?? Dkt alimpa vidonge flan hivi,akawa anaweka kwenye K,anakiingiza ndani kabisa kile kidonge,then anavaa chupi!
Yule demu alipona kabisa na baada ya hapo,nilihondomola balaa sana,tulikuja potezana baada ya mimi kupelekwa Lindi,na demu akawa anakuja Lindi mara moja moja sana,akaja akaolewa na mimi nikaoa zangu! Lakini bado tunawasiliana
ChaiNdo ivyo nimeropoka nimetoa siri ya kambi
Hiyo chai wekea viungo chukua kitafunwa kamilisha mlo wako wa asubuhiChai
Mzee nitakuwa nakupata kama umekulia Nkrumah ule mtaa familia zetu sisi wamatumbi zilikua familia tatu mtaa mzima waliobaki ni wahindi na waarabu, jioni tunaenda kununua mikate na cone kwa bakhresa, matonya enzi hizo anapenda kulala chini hapo kwenye mataa then ananyosha kopo lake juu tunamwekea mawe anajua hii so pesa anatupa.Hatimaye nimekutana na mwana Kisarawe mwezangu.. long time mzee.. cinema hapo Nkrumah ilikuwa ni New Chox, tizama sana movie za kihindi, movie zilikuwa na break manina😂. Tunaenda break tunarudi tena.. waaay back 🙌🏽
Mkuu hilo jina la bazenga ukiwa Kenya hasa Mombasa,malindi,lamu linamaana ya mtu mwenye ukwasi sana au tajiri mwenye pesa nyingi nilikua na Toto moja la Kikuyu anaitwa magiri alikua anapenda kuniita hill jina la bazenga.Mule mule mzee.. tuendelee kuzisaka ngawira. Itapendeza sana ndoto zikitimia.
Hapo mwika ndipo nilipokuja kujuwa kuna chakula kinaitwa kokoto, Yani ugali na kokoto.Sehemu zikijaa mabar pub hapafai,sinza kwenyewe sy sehemu ya kuishi na familia
Sahv tabata napo panakuwa kwa ovyo...
Sinza bar iliyovuma sana zamani ilikuwa mwika mpwaaa,hapo tumepiga sana ulabu
Alafu bar za zamani tofauti na sahv mpwaa zamani bar watu wanakutana wanaongea mioango tu,siku mabar sjui lounge zimevamiwa na watoto waimba singeli amapiano vurugu tupu
Ova