Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.

Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi.

Siku hizi Tabata unakutana na Small Planet, Kitambaa Cheupe, Barakuda, The Great, Kwetu Pazuri(Twest) na nyinginezo nyingi zinazoibuka kila mahali.

Leo asubuhi nawahi kazini nakutana na convo imebebana wamelewa chakari na vyupa mkononi, nikasema kweli Tabata imekuwa mpya. Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu.

Sinza hii hii au kuna sinza nyingine ?
 
Niliacha kutoka night-club asubuhi baada ya kukutana na wanafunzi wangu barabarani mitaa ya Ben Pub Kinondoni wanaelekea kanisani.
Niko chweeee.....wakanipokea mkoba nayumba balaa.

Mpaka leo, ikifika saa 8 usiku ni mwisho wa kukaa bar/nightclub.
Sitaki dhalili mimi.

Sasa apo umekimbia nini? [emoji16]
 
Waliokuwa wala bata wa Sinza wameshakuwa watu wazima na wengi wamehama wanaishi sehemu mbalimbali za jiji au nje ya Dar

Hata kama wanakula bata ni lile la mtu mzima mwenye majukum
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.

Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi.

Siku hizi Tabata unakutana na Small Planet, Kitambaa Cheupe, Barakuda, The Great, Kwetu Pazuri(Twest) na nyinginezo nyingi zinazoibuka kila mahali.

Leo asubuhi nawahi kazini nakutana na convo imebebana wamelewa chakari na vyupa mkononi, nikasema kweli Tabata imekuwa mpya. Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu.

Soccer City, 5N, The Calabash

Sema wale walevi wa miaka ile sasa hivi ndio makamo ya marehem Gardner
 
Ili isiwe over rated , wapi panapazidi sinza hapa kibongo bongo?
Mkuu tabata inakuja juu...sinza huwez kuta kijana akawa ana miliki nyumba pale akiwa na umri wa miaka 25..labda awe amerithi....na hata mahakamani kesi nyingi za urithi ni kinondon...sinza..:
 
😄😄😄
Unamkumbuka Astrda tomboy wa kule Copacabana, akataka niwe mpenzi wake.
Kwanza mie sikujua kama tomboy, siku hiyo tumelewa pale Babuu Bar nikaenda kulala kwake maana alikuwa rafiki yangu.....ile nashtuka usingizini, nakuta ananinyonya kisimi...alooo!!!
Yule tomboy pembeni ya Ben Pub ndie alikuwa don wa matomboy Kinondoni.
Kaachiwa nyumba ya urithi na frem zile.
Ana rasta hv...
Kuna time alikuwa anashinda governors kwule yaaah tule mwenye rasta ndio kaachiwa zile frame pale aisee noma kweli
 
😄😄😄
Unamkumbuka Astrda tomboy wa kule Copacabana, akataka niwe mpenzi wake.
Kwanza mie sikujua kama tomboy, siku hiyo tumelewa pale Babuu Bar nikaenda kulala kwake maana alikuwa rafiki yangu.....ile nashtuka usingizini, nakuta ananinyonya kisimi...alooo!!!
Yule tomboy pembeni ya Ben Pub ndie alikuwa don wa matomboy Kinondoni.
Kaachiwa nyumba ya urithi na frem zile.
Ana rasta hv...
Yaaah namkumbuka ila wale mademu bwana wana nyege na mademu wenzao, kuna siku nlikuwa ben pale wakaja walikuwa na birthday party ikabid me niage zangu pambano yamekuja kila mtu na beb wake alafu yule rasta ndio incharge
 
Mkuu tabata inakuja juu...sinza huwez kuta kijana akawa ana miliki nyumba pale akiwa na umri wa miaka 25..labda awe amerithi....na hata mahakamani kesi nyingi za urithi ni kinondon...sinza..:
wewe unaongelea sehemu za starehe au unaongelea kijana kumiliki nyumba?
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Unamkumbuka Astrda tomboy wa kule Copacabana, akataka niwe mpenzi wake.
Kwanza mie sikujua kama tomboy, siku hiyo tumelewa pale Babuu Bar nikaenda kulala kwake maana alikuwa rafiki yangu.....ile nashtuka usingizini, nakuta ananinyonya kisimi...alooo!!!
Yule tomboy pembeni ya Ben Pub ndie alikuwa don wa matomboy Kinondoni.
Kaachiwa nyumba ya urithi na frem zile.
Ana rasta hv...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom