Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

Yaani sema kwa vile nakuelezea tu, ila hali halisi inatisha.
Akivaa nguo hamalizi siku anaivua.
Anavaa nguo za ndani hata 3 ili azuie harufu ila haiishi.
Tulimpeleka kwa dokta ila hatukufua dafu.
Kabaki anasema huenda karogwa.
Tungesema huenda ana tabia ya kutoa mimba maana kutoa mimba sana nako kunasababisha harufu ila huyu dada wala hata kuzaa hajazaa
Watafuteni kampuni ya network marketing ya bf suma wana product kiboko ya wanuka ****
 
Duh! hiyo sasa konki.

Kuna mdada namjua yaani ukiingia ndani kwake hadi huruma, chumba kinanuka kumma tupu.
Katumia kila dawa.
Mpaka anahisi karogwa.
Mpaka sahv hatuendi kwake
Pole yake,, mwambie huyo rafiki yako apike ugali na huo ugali uliwe na wanaume. Au aalike best zake wa kiume tu na awapikie ugali wale na ile sufuria aloweke then akaoge afanye hivo mara kwa mara ikiwa bahati yake atapona.
 
Ngoja nimwambie ila hataki kabisa kusikia suala la dawa maana kahangaika sana
Anadai karogwa.
Namwambia umejuaje hana cha kusema
 
Pole yake,, mwambie huyo rafiki yako apike ugali na huo ugali uliwe na wanaume. Au aalike best zake wa kiume tu na awapikie ugali wale na ile sufuria aloweke then akaoge afanye hivo mara kwa mara ikiwa bahati yake atapona.
Leo Dada kweli kabisa kuna jamaa yetu ni mwanaume ana kikwapa kinatema sana hata atumie marashi hayasaidii ilifika hatua hadi mchumba alimkimbia, sasa kuna mtu alimwambia ili kuondoa harufu basis anachukua limao anasugua kikwapa then anaogea maji ya ukoko, alifanya siku 7 baadae harufu ikaanza kukata kwa mbali hadi ikaisha kabisa.
 
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.

Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi.

Siku hizi Tabata unakutana na Small Planet, Kitambaa Cheupe, Barakuda, The Great, Kwetu Pazuri(Twest) na nyinginezo nyingi zinazoibuka kila mahali.

Leo asubuhi nawahi kazini nakutana na convo imebebana wamelewa chakari na vyupa mkononi, nikasema kweli Tabata imekuwa mpya. Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu.

🚮
 
Leo Dada kweli kabisa kuna jamaa yetu ni mwanaume ana kikwapa kinatema sana hata atumie marashi hayasaidii ilifika hatua hadi mchumba alimkimbia, sasa kuna mtu alimwambia ili kuondoa harufu basis anachukua limao anasugua kikwapa then anaogea maji ya ukoko, alifanya siku 7 baadae harufu ikaanza kukata kwa mbali hadi ikaisha kabisa.
Najua hivyo pia bibi ndio alinifundisha
 
Umekosea umetaja watu, muda na locations atakutambua wewe nani.
Mbaya sana mkuu unaweza jikuta matatizoni siku ukirudi TZ.
Ila umeweka ushuhuda wa ukweli kuhusu harufu ya bidada.
Sidhani kama anaweza fanya kosa la hivo, kisa kinaweza kuwa cha kweli ila wahusika na locations zinaweza kuwa twisted ili kulinda privacy.
 
Back
Top Bottom