Kuna watu wabishi sana mpaka wapate ushuhuda kutoka kwa watu kama sisi.
Mwaka 2019, nikiwa nimefika tu Mwl Nyerere Int. airport nikitokea Oslo, Norway; nikaja kupokelewa na mpwa wangu, break ya kwanza nyumbani kwao Europa-Masaki, kituo kimoja kabla ya sea cliff.
Nikajimwagia, nikapumzika kdg. Nilipoamka mpwa akaniambia twende sea cliff. Tulipofika tukachagua eneo zuri la kukaa, wakati tunaendelea na story nikageuka nyuma, nikamuona Wolper. Nakumbuka nilikuwa nakunywa JD, nikavuta muda kdg zilivopanda kichwani nikamuomba muhudumu atuitie. Wolper akamjibu sisi ndio tuhamie pale, mpwa wangu ana kiburi sana, akaniambia hatuamii [emoji28], na mm sikubisha kwasababu mambo Yao ya Daslam wanayajua wenyewe.
Tumeendelea kukaa pale tukaagiza msosi, wakati tunakula mara Wolper huyu hapa, na kingereza chake cha ugoko eti "can I sit here?" [emoji1]
Tukamwambia Karibu ila sisi tunakula labda na wewe uagize. Akasema ameshakula ila akaagiza cocktail, siikumbuki jina.
Story zikanoga. Ghafla bin Vuu akatokea Ridhwan Kikwete, alikuwa anafahamiana na mpwa wangu, wakasalimiana pale, mpwa wangu akanitambulisha, Ridhwani akasema yeye hakai sana ila tuagize chochote muhudumu wetu akachukue pesa kwake.
Wolper akachanganyikiwa. Mimi simjui Ridhwani Wala nani, nimetoka zangu nje ya nchi Niko likizo na kesho yake nilikuwa naenda zangu mkoani Kuiona familia. Sasa sijui Wolper akajua na mm ni WA kishua [emoji28]
Yeye ndio akaanza kunichombeza Sasa. Huku na huku akakaa sawa, saa 2 usiku nikamwambia sisi tunaondoka, akasema tunaondoka wote, Moja Kwa moja mpk Climax Hotel, Kwa Sasa naona imebadilishwa jina, Iko kulekule masaki.
Picha linaanza, tukaenda kuoga. Tulivorudi kitandani nikawa nasikia harufu mbaya sana yani. Mbaya mno, yani haivumiliki. Mmnh, nikatoka kwenye balcony ya ile hotel kupata upepo kwanza, nilivorudi, chumba chote hakifai. Nilichofanya ni kwenda chooni kujitapisha, nikajifanya naumwa, nikampa Wolper dollar 600, nikamwambia alale kwasababu nimeshalipia nitamtafuta asubuhi.
Nikatoka nje nikachukua cab mpk Europa Kwa mpwa. Aisee kesho yake asubuhi alipiga simu SIKUPOKEA kabisa. Kile kiharufu Wolper anacho Kwa asili, atake asitake. Na kwakweli, kama una roho ndogo, unaweza hata ushindwe kula kabisa.
Ile namba ya simu nadhani alibadilisha ila nimekutana nae siku Moja Amsterdam anasubiri kubadilisha ndege akani-hug as if hakuna kilichotokea. She is a good girl ila afanyie kazi ile harufu.