Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

Hapo mwika ndipo nilipokuja kujuwa kuna chakula kinaitwa kokoto, Yani ugali na kokoto.

Kuna breakpoint nao wakawa na roast yao wanaiita Jirambe.

Aisee watu wa Moshi Arusha kwenye majiko ni wabunifu Sana.
Aise hatari sana ilikuwa
Ukienda Hugo napo pale walikuwa
Na makange fulani safi sana

Ova
 
Jamaniiii....uke wangu nisiujue hali inayopitia kweli....
20240412_163539.jpg

Manka aliruka akakataa utadhani ni kitu cha ajabu.
 
Mzee nitakuwa nakupata kama umekulia Nkrumah ule mtaa familia zetu sisi wamatumbi zilikua familia tatu mtaa mzima waliobaki ni wahindi na waarabu, jioni tunaenda kununua mikate na cone kwa bakhresa, matonya enzi hizo anapenda kulala chini hapo kwenye mataa then ananyosha kopo lake juu tunamwekea mawe anajua hii so pesa anatupa.
Hahaha, umenikumbusha mzee Matonya ombaomba maarufu Tz nzima, mzee Makamba mwenyewe alimnyoshea mikono juu.. mimi sikuwa naishi Nkrumah exactly ila ni stone throw away. Nilikuwa Livingston str. Sema lazma tunafahamiana.
Ulikuwa darasa moja na rais wa Utopolo?? Kama ndio lazma tunafahamiana.
 
Mkuu hilo jina la bazenga ukiwa Kenya hasa Mombasa,malindi,lamu linamaana ya mtu mwenye ukwasi sana au tajiri mwenye pesa nyingi nilikua na Toto moja la Kikuyu anaitwa magiri alikua anapenda kuniita hill jina la bazenga.
Hahaha..majirani ni watu poa sana ukiwa nao ni huku mitandaoni ndio tunazinguana
 
Niliacha kutoka night-club asubuhi baada ya kukutana na wanafunzi wangu barabarani mitaa ya Ben Pub Kinondoni wanaelekea kanisani.
Niko chweeee.....wakanipokea mkoba nayumba balaa.

Mpaka leo, ikifika saa 8 usiku ni mwisho wa kukaa bar/nightclub.
Sitaki dhalili mimi.
🤣 🤣 🤣
 
Pale pembeni ya oilcom nilikaa pale.
Kulikua na bar kubwa tu,madem wote walikua wanatoka kino tutapiga vyombo sio vya nchi hii.
Mi nilikua Mario tu.
Tulikua tunalamba vyombo mpk bassi tunaenda kuzima.
Walikua na hela wale wanawake
Maana waliolewa na wazungu.
Haikuepo kitambaa cheupe
wala chochote huko.
Ni miaka mingi sana
imepita.
 
Pale ben pub kuna siku nimetulia mule na mwanangu niko high sielewi ...jamaa ananiambia oya tuchole mi bila kuangalia muda namwambia mbona mapema mzee tuvute jamaa ananiforce naona acha nitoke zangu ile natoka nje aisee asubuhi kweupe dah! naangalia muda ni saa 2 inakalibia na nusu aisee nikajisemea tu hii sasa too much [emoji1787][emoji1787]jau sana mule [emoji1787][emoji1787]
Mimi hiko tu ndio kilikuwa kinaniacha hoi.
Halafu mule ndani watu hawapungui, unajua bado sana, kumbe saa 7 mchana....aloooo!!!!
Yaani pale sijui alipachimbia nini.
Tukianza kucheza muziki, ni mpaka tunajikuta hoi.
 
Kuna time alikuwa anashinda governors kwule yaaah tule mwenye rasta ndio kaachiwa zile frame pale aisee noma kweli
Anakula bata balaa
Sema walizaliwa 3, wengine wako nje ya nchi, wamemuachia nyumba na fremu ili zimsukume maishani....ila nae alikuwa anapelekewa moto na vidume kama kawa, usicheze na nyegge.
 
Yaaah namkumbuka ila wale mademu bwana wana nyege na mademu wenzao, kuna siku nlikuwa ben pale wakaja walikuwa na birthday party ikabid me niage zangu pambano yamekuja kila mtu na beb wake alafu yule rasta ndio incharge
Yule rasta ana mawe balaa.
Fremu zile mbele na kule pembeni, acha nyumba ile kapangisha upande.
Acha tu
Sema visagaji vya Kinondoni B vichafu sana.
Sijui vinafanyaje fanyaje, utakuta demu ananuka kwapa, ana michirizi ya mkorogo mapajani na usoni eti ndio tomboy.
Ila vilikuwa navyo vinapelekewaga moto na masela mpaka vinazalishwa.
Tangu lini tom boy akazalishwa, wanaigiza tu wale, njaa ikiwabana wenyewe wanarudi kwenye uanamke kucheza na mijegeje.....chezea njaa wewe.
Njaa haina tom boy wala msela....😄😄😄
 
Vinaniboaga sana yan utakuta vimevaa mlegezo yan vinajifanya vihuni kinoma 😂😂😂
 
Vinaniboaga sana yan utakuta vimevaa mlegezo yan vinajifanya vihuni kinoma 😂😂😂
Hatari na nusu.
Sahv vi tom boy vya kule Copacabana vyote vimezalishwa, vinauza magenge ya bibi zao sasa hivi.
Kipindi kile ukiingia pale Masai Club, eti unakuta vi tom boy vimekaa na videmu vyao vya Mwananyamala kwa Manjunju au kule Royal huku vinakunywa soda...🥴
Na vipensi vyao vya buku jero kule Karume.
Ngachoka mie....tom boy akiingia club anakugongea bia, ukimnunulia anakwambia umnunulie na demu wake...🤭
Sa si bora wabaki kuwa marijari wa kike kama sisi tu, wabanduliwe kazi iishe.
Nilikuwa nacheka sana kipindi hiko.
 
😂😂😂😂😂 alafu pale masai jumma nne sikuiz kuna bendi eeh ? Mana wahuni wa mwananyamala wakutosha bend au baikoko ? Unakuta nje wahuni kibao wamezagaa! Anyways mwanamke bwana awe na haiba ya kike na wakiume awe na haiba ya kiume
 
Kwa sasa sijui ratiba ya pale maana nilishahama Dar kitambo.
Ila wakati nakaa zangu Kino, nilikuwa mitaa ile napiga zangu sana ruti.
Wahuni wanaharibu sana sehemu za starehe.
Ila kuna wahuni wengine wala hawanaga shida na watu, ila wengine sasa....🙌🙌🙌
 
Watoto wa manjunju wa kutosha aloo acha kabisa miyeyusho sana marneo yale sema siku ambazo hakuna events ndio kuna utulivu kidogo unaweza ukakaa ukaangalia hapa mipira mipira watu wengi saivi wanapenda hapa barabaran hapa sheli ya mwanamboka kwa pemben kuna sehemu inatwa las karinyo ndio afadhali kuna ustaarabu na sababu ni sehemu ya askari,
 
Back
Top Bottom