Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

Pole kwa bar-fever, saa 2 usiku unatoka bar?
Mie saa 2 ndio naanza kutafuta nguo ya kuvaa.
Tumetofautiana mkuu
Yap naogopa sana mbu hata nyumbani ikifika saa tatu Niko ndani ya net, malaria na typhoid ndo magonjwa ninayoyaogopa nakunywa maji ya kuchemsha au ya chupa tu zaidi ya miaka 25, pia mbu hata akiingia kwenye net lazima nishtuke usingizini na nimtoe ndo nilale.
 
Pole sana mkuu.
Mie kwanza mbu anagusaje na niko high na nimechachuka na pombe.
Dah!
We utakuwa wa kishua...mbu mmoja unaatuka usingizini?
Sasa ukienda selo au mahabusu itakuwaje?πŸ€”
 
Walikuwa wanashinda matomboy pale kipindi fulan na mademu zao uhuni ulikuwa mwingi sana sema barabaran sana pale daaah
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Unamkumbuka Astrda tomboy wa kule Copacabana, akataka niwe mpenzi wake.
Kwanza mie sikujua kama tomboy, siku hiyo tumelewa pale Babuu Bar nikaenda kulala kwake maana alikuwa rafiki yangu.....ile nashtuka usingizini, nakuta ananinyonya kisimi...alooo!!!
Yule tomboy pembeni ya Ben Pub ndie alikuwa don wa matomboy Kinondoni.
Kaachiwa nyumba ya urithi na frem zile.
Ana rasta hv...
 
Madame, yani ile hela inaniumaga hadi kesho, ila katika mazingira kama haya unafanyaje?

Umemtoa pale mpk Climax, anaendesha gari yake na mm niko na mpwa na gari yetu mbele yake, anafika pale Climax ana-park kwenye parking shade, anashuka, anasema atalala, yani huo usumbufu wote [emoji28]

Nilimpa na hakuamini. Akaniuliza kwani natokea wapi? Nikamwambia nasafirisha nyanya kutoka Lushoto [emoji23], kumbe nilijisahau, wakati mpwa ananitambulisha Kwa Ridhiwan alisema kabisa huyu ni mpwa wangu Yuko masomoni Norway ndo amekuja likizo [emoji3]

Kweli ukiwa muongo uwe na kumbukumbu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu" πŸƒ
 
Daaaaamn, this is facts
 
Pole sana.
Ndo ya dunia haya.
 
Nimemuacha Dar, mie niko zangu Dom, ila wananiambia bado anahangaika na tatizo lake.
Unajua mpaka tunamuonea huruma.
Sema ndio hivo ana imani amerogwa.
Nilimwambia akapime kansa ya kizazi, sijui kama alienda
Kama aliwahi iba mume wa mtu unapigwa na kitu cha harufu but aende hospital kubwa kwanza afanyiwe vipimo then ikishindikana tutamsaidia mahala pa kupata tiba mbadala.
 
Kama aliwahi iba mume wa mtu unapigwa na kitu cha harufu but aende hospital kubwa kwanza afanyiwe vipimo then ikishindikana tutamsaidia mahala pa kupata tiba mbadala.
Yaani huyu dada mie ndio namjua kiundani, sio malaya wala si mdangaji wala hana skendo chafu.
Sema nimejuana nae baada ya yeye kuhamia mtaani kwetu akiwa form 3.
Maisha ya huko nyuma sikuyafahamu
 
Aisee...
So hili nalo ni la kutazama sio!?πŸ˜‚πŸ€£
 
Ila yule tomboy nilikuwa namuelewa sana....hyo siku tupo masai pale kaja na pisi yake baada ya maj kunizidia nilitongoza wote....afu kesho yake nikaandaa mikakat ya kuanza kuwinda mmoja mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…