Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

Shida inaanzia kwa wamiliki pia.

Tajiri Mlokozi anakejeli Wahitimu wa Degree kwamba ni Mbumbumbu kwa sababu hawana hela kama yeye na kwanba hakuna wanachojua.

Anasahau pesa anayoingiz inatokana na wanancachi hao hao.

Hawa matajiri wakishapata wanawaone wenzao hawana maana hawana Mbele wala nyuma.

Sasa mtu kama huyo akiunguliwa utamsaidia vipi?
 
Habari bila picha ni umbeya! Tupia kapicha ili tuone!
 
Mawakala wa AZUMA
cc Mshana Jr
😁😁😁
 
Ngoja dhambi zipunguzwe na moto japo kwa muda maana hapo ndiyo ilikuwa center
 
Wazee wa nongwa, wewe ni Mzaramo?
 
Kuna mahali inajengwa nyingine.

Pole yake Jesika na wamiliki wenza wengine. Biashara kuungua moto ni mtihani sana.
 
Na ndio nyinyi kutwa kulalamika serikali iwatilie pesa mfukoni!
 
Nainua mkono mama kitambaa cheupe ishara ya mapenzi mama penzi bora.
 
Nipo kwenye gari nimeshindwa kupiga picha ila hali ndio ilivyo kwasasa.

Habari zaidi nini chanzo cha moto ni huko baadae, wahusika wakija kuhojiwa.

View attachment 2913280
Haya mambo yule mchungaji aliyetabiri kifo cha lowasa alitabiri pia akisema slip way,kitambaa cheupe,uwanja wa fisi na liver side anaona kuna majanga yatatokea,juzi liverside kumeungua,haya leo kitambaa duh.
 
Haya mambo yule mchungaji aliyetabiri kifo cha lowasa alitabiri pia akisema slip way,kitambaa cheupe,uwanja wa fisi na liver side anaona kuna majanga yatatokea,juzi liverside kumeungua,haya leo kitambaa duh.
Sio liver side! bali ni River side...hivi shule mlienda kuongeza ukilaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…