Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Shida inaanzia kwa wamiliki pia.Tumepata janga la moto mitaa ya Tabata; nikiwa mitaa hii nimeona tabia ambayo tunapaswa kuukemea.
Wananchi waliopo eneo la tukio hakuna misaada wanayotoa kuzima moto; wote wamewasha camera za simu zao wanakusanya habari.
Zipo nyumba za pembeni nna bar na sometimes wapo watoto ndani, badala wananchi wa Tabata wajikite kufanya uokozi wanapiga picha.
Wananchi hao nipamoja na mimi ambaye badala ya kuendelea kutoa misaada nimeona sina vifaa vya kuokoa hivyo nimebaki kuwaletea habari.
Kazi ya kuokoa siyo ya zima moto ni yetu sote
Tajiri Mlokozi anakejeli Wahitimu wa Degree kwamba ni Mbumbumbu kwa sababu hawana hela kama yeye na kwanba hakuna wanachojua.
Anasahau pesa anayoingiz inatokana na wanancachi hao hao.
Hawa matajiri wakishapata wanawaone wenzao hawana maana hawana Mbele wala nyuma.
Sasa mtu kama huyo akiunguliwa utamsaidia vipi?