Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

Aisee hii bar🙌, kuna wakati niliingia hapo nililetewa nyonyo nzima nzima ya uso na lishangazi, huku upande wa kushoto na kulia mashangazi mengine yananipapasa kifua na shingoni hapo ni baada ya kuwapa ofa ya shisha na bia mbili mbili, pale ni kiwanda cha kukata nyege na mawakala wa AZUMA ndipo walipoweka kambi
 
Tumepata janga la moto mitaa ya Tabata; nikiwa mitaa hii nimeona tabia ambayo tunapaswa kuukemea.

Wananchi waliopo eneo la tukio hakuna misaada wanayotoa kuzima moto; wote wamewasha camera za simu zao wanakusanya habari.

Zipo nyumba za pembeni nna bar na sometimes wapo watoto ndani, badala wananchi wa Tabata wajikite kufanya uokozi wanapiga picha.

Wananchi hao nipamoja na mimi ambaye badala ya kuendelea kutoa misaada nimeona sina vifaa vya kuokoa hivyo nimebaki kuwaletea habari.

Kazi ya kuokoa siyo ya zima moto ni yetu sote
 
Hizo nyaya sasa,siku tuko bize na kimpododo changu cha uswazi huko tbt tunasubiri daladala bima duh hapo pembeni kuna transfoma.
Si likalipuka,dah binti kaenda upande wake mi wangu tunapiga mbio.
Ilibidi tu aseme mi niko
home liwiti njoo nje tena sitoki.
Papuchi ina sumaku sijui hata nilifikaje huko.
 
Back
Top Bottom