Baa ya Mendez wa Wasafi ipo wapi?

nasikia huyu jamaa kafungua baa mjini dar,ambayo ina vinywaji vya hatari,anayeijua aniarifu inaitwaje na ipo mtaa gani
Yes ni place ya watu classic hakuna mademu waomba nauli inaitwa Link ipo masaki baada ya IST school kuna supermarket inaitwa jambo ipo mkabala.

Ni expensive place lakini utatengeneza connection za maana utaagana na wanaoshinda mtandaon wanamtukana Mondi
 
ok asante nataka niende kunywa japo kwa saa 1 tu
 
Bar kungekua na connection za kutoka kimaisha mabaamedi wasingekua wanauza K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…