Baa ya Mendez wa Wasafi ipo wapi?

Baa ya Mendez wa Wasafi ipo wapi?

Mimi binafsi kwa kweli napenda bar za Manzese & Magomeni. They are down to earth. Hskuna ma pretender, halafu kagiza kakianza naanza kuwanawa watoto wakinyiramba.
Huko kwenye connection naonaga kila mtu ameweka funguo za gari mezani huku anaangalia picha za ngono kwenye iPhone fake ya kichina.
Huku mantheysay mnaongea huku mnakula kongoro huku unamnawa mnyaturu, kule unaangalia matrako ya mijimama, huku beer ili mradi.
nimeipenda hii
 
Alafu baada ya kujua ilipo unafanyaje?
Bar tunafuata pombe, Chakula, Muziki na Connections,
Kila eneo fulani ina aina ya watu thus km aunahitaji ku-connect na aina fulani ya watu basi ni lzm ujue aina ya Bar unayokwenda, nadhani ndo lengo la muulizaji!!
 
Bar tunafuata pombe, Chakula, Muziki na Connections,
Kila eneo fulani ina aina ya watu thus km aunahitaji ku-connect na aina fulani ya watu basi ni lzm ujue aina ya Bar unayokwenda, nadhani ndo lengo la muulizaji!!
Sawa mkuu nikukute 'Matako Bar' tupeane connection
 
Umaskini mbaya sana mtu eti anamaind mtu kwenda kutumia pesa yake wewe kama hauna pesa kuna place za balimi za buku buku kaa uko ndio circle yako ilipo
Aaah wewe jamaa Kuna sehemu zinapatikana balimi za buku buku afu upo kimya tu siku zote toa code ni wapi.
 
Tuma hell tukununulie kiwanja huku dodoma itaikumbuka kuliko hyo pesa
 
Vp Wana uza K VANT za kupima, niende nkale burudani
 
Back
Top Bottom