Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Kwahio dogo unaniambia watu wanaojitambua hawanywi balimi ya elfu Moja? Au hawakai sehem za low standard panapouzwa balimi na bia zingine za Bei ndogo,,Kwaio kwako wewe mtu wa maana kwako ni yule anayekunywa kinywaji Cha kuanzia milioni 1..kwa Mana hio kupitia koment yako umetudhibitishia kwamba wewe ni CHAWA..Watu wanaojitambua watu wenye maono watu wanaopenda kuishi vizuri.