Baa ya Mendez wa Wasafi ipo wapi?

Watu wanaojitambua watu wenye maono watu wanaopenda kuishi vizuri.
Kwahio dogo unaniambia watu wanaojitambua hawanywi balimi ya elfu Moja? Au hawakai sehem za low standard panapouzwa balimi na bia zingine za Bei ndogo,,Kwaio kwako wewe mtu wa maana kwako ni yule anayekunywa kinywaji Cha kuanzia milioni 1..kwa Mana hio kupitia koment yako umetudhibitishia kwamba wewe ni CHAWA..
 
Kuna sehemu za low standards na kuna sehemu za hovyo. Siwezi kaa sehemu watu wanakula ugolo never bora ninywee home kwangu au dukani kwa mangi
 
Bia sh. Ngapi?
 
Tatizo la humu jf watu wengi hawaandiki uhalisia wao. Unaweza kuta wewe ni mgogo au Muha imeingia town juzi, umepanga Sinza Basi unajiona mataaawi. Binafsi nimekulia Magomeni, viwanja vyoote vikali unavyovijua Dar nimepitia. Ila home is bestest.
 
Acha niwe mgogo au muha ila bar za manzese hapana mkuu siwezi, wewe unainjoi kuwanawa mabaamedi ila mimi naona ndio ushamba sasa. Nenda place zinazoheshimu watu ni marufuku bartender kushikwa na mteja hata kukaa mezani na mteja ni kosa kubwa lakini kama wewe unainjoi kuwaingiza vidole wadada wa bar ndio sterehe yako mimi naona sawa endelea kuinjoi mimi tukutane the link watu hawanuki nguvu
 
Naona kwenye web yao mpaka uweke reservation ndio unaingia, waliowahi kwenda kinywaji cha bei nafuu na msosi vinaanzia sh ngapi ili siku moja nasi tukaushtue umasikini?
 
🤣
🤣🤣baa ya wadangaji type z mobeto,wauza mikunduuh Kama jumalokole na wauza sembe🤣🤣
Mchungeni domokaya asijiovadoziii
 
Hivi huko bado kuna viwanja vinauzwa? au wanakodisha
 
Tatizo la humu jf watu wengi hawaandiki uhalisia wao. Unaweza kuta wewe ni mgogo au Muha imeingia town juzi, umepanga Sinza Basi unajiona mataaawi. Binafsi nimekulia Magomeni, viwanja vyoote vikali unavyovijua Dar nimepitia. Ila home is bestest.

Hii comment imeniuma sana
Ww jamaa hujaona makabila mengine adi useme hayo makabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…