The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
wewe unajua mendez ana muda gani kwenye hiyo biashara?Kwa nature ya biashara za hawa watu na pia uzoefu, ikichukua time sana ni miaka mi 3 chaliiii
asanteEnjoy mwanangu
nitaenda pia kuionaWhat about Kapital member’s Lounge ile ya Victoria? Nadhani ana partner na Kalito (Sina uhakika)
nimeipenda hiiMimi binafsi kwa kweli napenda bar za Manzese & Magomeni. They are down to earth. Hskuna ma pretender, halafu kagiza kakianza naanza kuwanawa watoto wakinyiramba.
Huko kwenye connection naonaga kila mtu ameweka funguo za gari mezani huku anaangalia picha za ngono kwenye iPhone fake ya kichina.
Huku mantheysay mnaongea huku mnakula kongoro huku unamnawa mnyaturu, kule unaangalia matrako ya mijimama, huku beer ili mradi.
Bar tunafuata pombe, Chakula, Muziki na Connections,Alafu baada ya kujua ilipo unafanyaje?
Sawa mkuu nikukute 'Matako Bar' tupeane connectionBar tunafuata pombe, Chakula, Muziki na Connections,
Kila eneo fulani ina aina ya watu thus km aunahitaji ku-connect na aina fulani ya watu basi ni lzm ujue aina ya Bar unayokwenda, nadhani ndo lengo la muulizaji!!
Only members rafiki.nitaenda pia kuiona
Aaah wewe jamaa Kuna sehemu zinapatikana balimi za buku buku afu upo kimya tu siku zote toa code ni wapi.Umaskini mbaya sana mtu eti anamaind mtu kwenda kutumia pesa yake wewe kama hauna pesa kuna place za balimi za buku buku kaa uko ndio circle yako ilipo
Bei zake sasaPombe Ni Ile Ile.
Ngoja Ramadan ipite nitakuambia siku ya Idd.Nasikia huyu jamaa kafungua baa mjini Dar, ambayo ina vinywaji vya hatari, anayeijua aniarifu inaitwaje na ipo mtaa gani
Ustadh jina tu hakuna ustadh Tanzania wote ni mahayawani tu.Mendez si ndio salam au ni mwingine? Maana nashangaa mwarabu halafu ustadh kumiliki bar!
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
huko wanakutana watu classic waliotoboa maisha, ipo masaki.
Kama una pesa ya mawazo usiende
ya ujazo gani?Maji madogo laki ngapi?