Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
We mwamba sana,nimetake notesmkuu acha kulalamika huo utakuwa udhaifu kwako.
ukitaka ndoa yako idumu tafuta mchepuko.
% kubwa ya wanaume tulio kwenye ndoa tunachepuka ili kuepukana na kadhia kama hiyo.
kulazimisha kupata penzi kwa huyo mkeo ni kumsumbua na kuwa kero kwake, mwache mkeo alee mtoto kwa amani.
Ni ngumu kumnywesha ng'ombe maji:1 wakolintho
7.3 Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
7.4 Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
7.5 Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
7:5 ✍️
Mithali 14:1
"Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. "
Hekima ndio inayojenga nyumba , upumbavu Ndio unaobomoa nyumba
Anachotaka kukifanya mke wako ni kubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe kwa upumbavu wake either kwa kujua au kwa kutokujua kua makini sana katika hilo linda NDOA yako kuchepuka sio solution ya hilo tatizo bali ni kwenda kuitumbukiza NDOA yako shimoni
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuchepuka kipaji,Mimi juzi nimetoka chepuka jioni saa kumi na Moja nikarudi kwangu,banaa si kumbe Ganda la kondome lilidondokea kwenye viatu mi nikavaa bila kujua.
Nimefika home mke na watoto wapo nikavua viatu mlangoni nikaviacha,nusu saa natoka nivipitie kucheki ndani ya viatu Kuna Ganda la Ile kondome used,mke watoto wamepita hapo mlangoni kama mara 5 ivii kha!!
Banaa weee,nikakazaa nikavivaaa,mpaka Leo sielewi kama alisanuka maana hajanambia chochote na yupo in good mood,ilaa nusura niaibikee mzee mzima.
Baada ya kupata mtoto Hana interest na sex kabisa. Hii ni tofauti na kipindi cha uchumba.. kama niliomba mzigo mara kumi, basi nimepewa mbili.
4. Hataki BJ kabisa lakini zaman ilikua fresh. Na mimi napenda saana BJ.
BJ ndio nini?
Yan ni usnge mtupu upande wetu afu Wana justify ushoga ni sawa ila polygamy ni dhambiWaislam Kuna mengi sana wametuzidi uelewa, ungekua na wake kama watatu hivi, unakaa huko kwingine mpaka huyu siku akili zimkae sawa
Unatakiwa kuwa makini na nguo zako ukitoka kuchepuka ili usiache alama😂 af mimi Eva huwa ana hisia kali saingine anaota kabisa ikiwa nimeanza kuhang out na sidechicks.Kuchepuka kipaji,Mimi juzi nimetoka chepuka jioni saa kumi na Moja nikarudi kwangu,banaa si kumbe Ganda la kondome lilidondokea kwenye viatu mi nikavaa bila kujua.
Nimefika home mke na watoto wapo nikavua viatu mlangoni nikaviacha,nusu saa natoka nivipitie kucheki ndani ya viatu Kuna Ganda la Ile kondome used,mke watoto wamepita hapo mlangoni kama mara 5 ivii kha!!
Banaa weee,nikakazaa nikavivaaa,mpaka Leo sielewi kama alisanuka maana hajanambia chochote na yupo in good mood,ilaa nusura niaibikee mzee mzima.
Mimi nilikua sijui maana ya BJ lakini nimeifahamu baada ya kusoma some ppls comments, katika Hilo la kumnywesha ng'ombe maji me mwenyewe sikubaliani nae na Sio vizuri kumlazimisha MKE katika mambo kama haya nililolimaanisha hapa kwa ukubwa ni kitendo cha mke kumnyima mme tendo la NDOA hi haifai na ni HATARI kwa NDOANi ngumu kumnywesha ng'ombe maji:
We Mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ndoa ilivyo wahenga wanasema "Its not a bed of roses".
Kama ulifikiri kuna mtu anashikiwaga bastola kutafta mchepuko basi utajifunza hilo in the hard way[emoji23].
Wanawake tunawaoa kwa Upendo ila madhila yao ni makubwa sana baada ya ndoa.
Unatoa pole flani hivi halafu unajisemea moyoni hiiiiii bagosha in JPM voice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu kwa matatizo hayo
ndioAkiokoka nyege zitaisha?[emoji16][emoji2][emoji848]
We mwamba sana,nimetake notes
hata wazee wa zamani(wazazi wetu) ndoa zao zilidumu/kudumu kwa mbinu hii hii.We mwamba sana,nimetake notes
hahahahahah yani umelenga PentagonUnatoa pole flani hivi halafu unajisemea moyoni hiiiiii bagosha in JPM voice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]