Kuchepuka kipaji,Mimi juzi nimetoka chepuka jioni saa kumi na Moja nikarudi kwangu,banaa si kumbe Ganda la kondome lilidondokea kwenye viatu mi nikavaa bila kujua.
Nimefika home mke na watoto wapo nikavua viatu mlangoni nikaviacha,nusu saa natoka nivipitie kucheki ndani ya viatu Kuna Ganda la Ile kondome used,mke watoto wamepita hapo mlangoni kama mara 5 ivii kha!!
Banaa weee,nikakazaa nikavivaaa,mpaka Leo sielewi kama alisanuka maana hajanambia chochote na yupo in good mood,ilaa nusura niaibikee mzee mzima.