Baada kuwa gereza kubwa la wazi, Gaza imegeuka ni kaburi la sheria za kibinadamu

Baada kuwa gereza kubwa la wazi, Gaza imegeuka ni kaburi la sheria za kibinadamu

Subiri waje wengine ambao mnafanana uwezo wa kufikiri na kujenga hoja ndio uendelee nao!Nikutakie jioni njema!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unajifanya mwema sana wakati kwenye tukio la october 7 mlikuwa mnakata viuno na kupongezana.
Hiyo jioni njema, watakie wavaa kobazi wenzakoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nyie si mlikuwa mnasema wanajeshi wa Israel wanauwawa ovyo Gaza, mara Israel inapigwa na Hezbollah. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wahenga walisema,"dont argue with fools b'se they will drag you down to their level and defeat you with experience"!
Niishie hapo tu!
 
Wahenga walisema,"dont argue with fools b'se they will drag you down to their level and defeat you with experience"!
Niishie hapo tu!
Kwanini usingetumia lugha ya ndugu zako waarabu unaowaonea huruma kwa ujinga wao?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ukiwa una swali unatumia lugha ya kiarabu ila ukitaka kujionesha una akili sana, unatumia lugha ya wazunguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Muda mrefu ilielezwa kuwa Gaza ndio gereza kubwa la wazi duniani lililowafungia watu karibu milioni 2.5
Baada ya hilo mshauri wa mambo ya nje wa jumuiya ya Ulaya,Joseph Borell amesema eneo hilo pia linapaswa kuitwa ni kaburi la sheria walizojiwekea binadamu.

Uchaguzi wake wa jina hilo bila shaka umekuja baada ya kuona mengi ambayo yamekuwa yakiendelea kinyume na yalivyo kwenye makaratasi.

Na sijui ni nani tena atakayetoka nchi za Ulaya na Marekani kwenda nchi nyengine kuhimiza utawala bora na utawala wa kisheria pamoja na demokrasia.

Mimi binafsi namuongezea kuwa Gaza ni kaburi pia la ubinadamu.

1. Hukumu ya ICJ iliyotolewa baada ya mashtaka ya Afrika kusini yamepuuzwa na hakuna aliyehoji

2. IDF wanapiga makazi ya watu kwa nguvu zote na kuua watu bila sababu na hakuna anayeizuia

3. Israel imezuia chakula kisiingie Gaza mbele ya macho ya walimwengu na wameshindwa kutumia nguvu kupitisha chakula hicho kama ilivyopendekezwa na SA.

4. Kawaida binadamu ukimshambulia mama au ndugu zake huwa mkali na lazima atatumia kila silaha aliyonayo kupigana na adui huyo.Kwa upande wa Gaza wanapigwa na kugaragazwa mbele ya macho yao lakini wao wanaendelea kula pilau zao.

War in Gaza a graveyard for humanitarian law, top EU diplomat says

Mnalalama nini leo. Nyie si mlisema Israel anapigwa?
 
Kwanini usingetumia lugha ya ndugu zako waarabu unaowaonea huruma kwa ujinga wao?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ukiwa una swali unatumia lugha ya kiarabu ila ukitaka kujionesha una akili sana, unatumia lugha ya wazunguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ndio akili yako ilipoishia!Sikulaumu,ni janga la kitaifa!
 
Hili ni somo zuri sana ambalo linawataka kuacha uchokozi wenu.
Islamu-islamu=mapigano
Islam-christian=mapigano
islamu-hindu=mapigano
islamu-israel=mapigano
NB:mnafaa kupigwa mpaka mjue kuishi na watu vizuri.
 
Ndio akili yako ilipoishia!Sikulaumu,ni janga la kitaifa!
Jifunze kuandika vizuri.
Ni kweli, hili taifa limeanza kuwa na wajinga wengi ambao hawajui kuandikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ndio βœ–
Ndiyo βœ…
 
Hata Mimi hiki kitu kinanishangaza Sana kwanini watu wengi wanatetea sana Gaza,
Unataka tuwatetee madhaalim ili iweje! Na lazima ikushangaze, kwa sababu ya chuki zako kwa waislamu, hata wakiuawa kwako ni sherehe. Ila kumbuka baada ya kifo kuna maisha mengine.
Israeli hawakufa watoto? na wanawake?.
I mean Gaza kaanza kupiga Israeli akiwa amelala akaua watu wake,Ila Israeli alipoamua kujitetea ndio akawa kakosea?
Wewe umeona ya oct tu, ila hufikirii miaka zaidi ya 70 iliyopita mpaka sasa tunavyo ongea wapalestina wamepitia madhila gani! na hapo huna uhakika kama ni hamas au IDF ndio wamehusika na shambulio hilo, ila akili yako imeenda 1 kwa 1 kwa Hamas ndio wahusika, fikiri kabla hujaongea!
Halafu watu wanaokomaa eti " pray for Gaza" mara sijui human rights (Tena waafrika)wengi wao ni wanafiki tu, wewe Kama unataka kupray Basi pray for victims on both countries kwa sababu hiyo ni vita na vita haina macho victims wote wanaokufa hawahusiki kabisa(refer Joshua Molel).
Hao hao waafrika unaosema wengi wao ni wanafiki basi tambua hao ndio wanaojitambua, wana imani na huruma.

Watoto/raia wasio na hatia wameuawa na makafiri hukuumia, ila ya akina mollel na joshua umeumia sana wakati huo huna hata ushahidi kama wameuliwa na hamas! Pole sana
Mbona ndugu zetu huko Sudan na hapa Congo tu wanakufa na vita ambayo haiishi lakini Hawa wanaojiita watetezi wa watoto na wanawake na prayer warriors hawasemi kitu, what's so special about Gaza?.
Congo wanagombania nini kama sio ujahili tu! Wanauwana hovyo tu, watu wenyewe wengi wao hawana DINI, so utafananisha na PALESTINA!, Palestina wanapigania ardhi yao.

Lakini waliowaua ni wapalestina hivyo na wenyewe ngoja wauwawe tu maanake ni unyama unyama.
Unaongea bila ushahidi, nimekuomba clip umeshindwa kuleta, so atakaekuamini ni hater wa waislamu hata kama anaujua ukweli.
 
Attachments

  • IMG_4312.jpeg
    IMG_4312.jpeg
    1.1 MB · Views: 2
Basi kwa kipimo hicho hicho,serikali ya israel itambulike kama serikali ya kigaidi!
Itambulike na nani sasa wakati wanaotoa lebo ya ugaidi wapo upande wa Ziraili aka wazayuni
 
tukio la october 7 la kushtukiza waliuwawa zaidi ya raia 300 wa Israel.
je hili tukio lilikuwa jema au siyo jema?
na waliofanya hivyo walikuwa na huruma?
Mateso na kuuawa kwao ilhali wanapigania haki/ardhi yao iliyoporwa kwa zaidi ya miaka 70 iliyopita hadi now dhidi ya wahamiaji haram mbona hulisemi hilo, wewe umeona ni oct tu, kwanza una ushahidi gani kama ni hamas ndio wahusika wa tukio hilo!
 
tukio la october 7 la kushtukiza waliuwawa zaidi ya raia 300 wa Israel.
je hili tukio lilikuwa jema au siyo jema?
na waliofanya hivyo walikuwa na huruma?
Ndugu ww huelewi historia au unajitoa ufahamu,, mwaka 1946 hakukua na nchi iliyoitwa Israel ,,ni nchi iliyoanzishwa Tu karibuni kwa jitihada za mabwana zao Amerika na UN pale ambapo Adolf Hitler aliwachinja Sana hawa mazayuni na kuwachoma moto wakawa hata hawajui waishi wapi ,,lkn kwa sababu mabwana zao Wana power kwa sasa ndio mana ndio watetezi wao lkn waislam tunaamini kuwa Qudsi ni Mali ya waislam ,,Mskiti WA Aqsa na pembezoni vyote ni Mali ya waislam ,, ama kuwa uislam umekosa nguvu miaka hii ya karibuni Baada ya kutawala kwa Karne nyingi Sana na kutokea dola ya kiislam kuangushwa ,,na dola za kikafiri kupata nguvu ni Jambo la muda Tu waislam watapata mateso ya muda Tu atakaopanga mwenyezmungu na Baada ya hapo uislam utashika hatamu yake na mayahudi watauawa vilevile kama nzi ,, sasa tunaamini kuwa haya ni mateso ya muda lakini Quran ishaweka wazi kuwa Ile ardhi takatifu ya Palestrina , Aqsa na viunga vyake ni milki za waislam na watairithi waja wake wema na sio hawa viumbe waovu WA kizayuni,, sasa haya ni mateso ya muda Tu mpaka pale Allah atakapohukumu Jambo lake kwani mambo yote yapo mikononi mwake anaumba atakavyo na hakuna wa kumpangia wala kumtia kasoro .

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Muda mrefu ilielezwa kuwa Gaza ndio gereza kubwa la wazi duniani lililowafungia watu karibu milioni 2.5
Baada ya hilo mshauri wa mambo ya nje wa jumuiya ya Ulaya,Joseph Borell amesema eneo hilo pia linapaswa kuitwa ni kaburi la sheria walizojiwekea binadamu.

Uchaguzi wake wa jina hilo bila shaka umekuja baada ya kuona mengi ambayo yamekuwa yakiendelea kinyume na yalivyo kwenye makaratasi.

Na sijui ni nani tena atakayetoka nchi za Ulaya na Marekani kwenda nchi nyengine kuhimiza utawala bora na utawala wa kisheria pamoja na demokrasia.

Mimi binafsi namuongezea kuwa Gaza ni kaburi pia la ubinadamu.

1. Hukumu ya ICJ iliyotolewa baada ya mashtaka ya Afrika kusini yamepuuzwa na hakuna aliyehoji

2. IDF wanapiga makazi ya watu kwa nguvu zote na kuua watu bila sababu na hakuna anayeizuia

3. Israel imezuia chakula kisiingie Gaza mbele ya macho ya walimwengu na wameshindwa kutumia nguvu kupitisha chakula hicho kama ilivyopendekezwa na SA.

4. Kawaida binadamu ukimshambulia mama au ndugu zake huwa mkali na lazima atatumia kila silaha aliyonayo kupigana na adui huyo.Kwa upande wa Gaza wanapigwa na kugaragazwa mbele ya macho yao lakini wao wanaendelea kula pilau zao.

War in Gaza a graveyard for humanitarian law, top EU diplomat says

Si wawaachie mateka waliowateka ndipo ulete lawama hizo? Ingekuwa mwanao ametekwa wewe ungefurahi?
 
Si wawaachie mateka waliowateka ndipo ulete lawama hizo? Ingekuwa mwanao ametekwa wewe ungefurahi?
Misimamo yako ya kipuuzi hata Marekani wameona ni ujinga kushikilia habari hizo.
Kama mateka wameshakufa kwa mabomu ya Israel ambayo hayachagui au wamekufa kwa njaa utawapata wapi tena.
 
Misimamo yako ya kipuuzi hata Marekani wameona ni ujinga kushikilia habari hizo.
Kama mateka wameshakufa kwa mabomu ya Israel ambayo hayachagui au wamekufa kwa njaa utawapata wapi tena.
Basi waendelee kupigwa tu, wapigwe na wapigwe tena. Si hawawajui Israel, wale ndiyo mabwana wa vita. Kwani sababu yao ya kuwateka mateka imeshaisha?
 
Waafrika hatima akili hata ya kiwango Cha nyani. Watu Bado tumeendelea kukomaa kwamba Wapalestina waendelee kufa tu kisa waliichokiza Israel wakati wenye akili wanasema GAZA inekuwa gereza la wazi miaka mingi
Achana nawapalestina tuwatetee kwanza wasudani wenzetu
 
Vita ina Sheria zake, ukikaa kimwa adui anaendelea kukupa kichapo.
Ukisalenda.
Hamas wanatakiwa kusalenda au kusema Mateka wameuawa wote.

Kukaa kimya kunaonyesha unaendelea na vita. Adui anaendelea kujipanga na kutoa kichapo.
Israeli Iko vitani na haiwezi kuacha mpaka isikie upande wa pili unasemaje, adui anasemaje.

Kiukweli Hamas wameshindwa vita ila wanajikaza tu. Na sasa wanajuta kwanini walianzisha ugomvi usio wa rika lao.

Israeli bado anapigana kuwaokoa mateka wake na ni halari yake kwa kanuni za vita.

Vita havina macho. Hamas alipoivamia Israeli hakuchagua wa kumwua.

Kama Hamas alikuwa na kisasi na Serikali ya Israeli angepiga kambi ya Jeshi na sio raia wasio na hatia.

Acheni Hamas waadabishwe ili aheshimu Sheria za Kimataifa za vita, na mwisho wa vita ni Hadi Serikali ya Hamas iangushwe yote na kuwekwa Serikali nyingine itakayo ratibiwa na aliyeshinda vita.
Yaani Israeli.
 
Back
Top Bottom