Baada Marekani kujitoa katika misaada ya bure duniani, haya basi China iliyokuwa inajitutumia ije!

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Marekani baba lao. Baada ya Trump kuanza kuwarudisha makwao waamiaji haramu na kusitisha misaada ya bure kupitia USAID na kujitoa WHO, dunia nzima inalia na kumlalamikia Trump kuwa sio mtu! Kila mtu amalize mechi zake vinginevyo China sijui Urussi ijitokeze! Fyooooooh!
 
Alafu kuna watu walikuwa wanakuambia marekan ana kitu anaptwa na china kwa technology na uchumi
 
Nikweli lakini siyo jambo lakufurahia maumivu utayaona baadaye na hasa wewe uwemwathirika.
 
Mnatafuta danga lingine huku nyumbani mnashamba, mnaacha kudili na ngedele mpate mazao yenu.
 
Pambana na serikali yako🤣 Elimu unapewa bado unataka msaada?
 
Alafu kuna watu walikuwa wanakuambia marekan ana kitu anaptwa na china kwa technology na uchumi
Halafu ...Marekani anapitwa hata usemeje hamna collocation na point Yako .

Elimu muhimu sana ili kung'amua mambo kijana.
 
Marekani baba lao. Baada ya Trump kuanza kuwarudisha makwao waamiaji haramu na kusitisha misaada ya bure kupitia USAID na kujitoa WHO, dunia nzima inalia na kumlalamikia Trump kuwa sio mtu! Kila mtu amalize mechi zake vinginevyo China sijui Urussi ijitokeze! Fyooooooh!
“Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana. ”
— Yeremia 17:5 (Biblia Takatifu)

GOD BLESS DONALD TRUMP
 
Marekani baba lao. Baada ya Trump kuanza kuwarudisha makwao waamiaji haramu na kusitisha misaada ya bure kupitia USAID na kujitoa WHO, dunia nzima inalia na kumlalamikia Trump kuwa sio mtu! Kila mtu amalize mechi zake vinginevyo China sijui Urussi ijitokeze! Fyooooooh!
Lini marekani alitoa "MISAADA YA BURE"????
 
Watu husema China, China, China. Haya mwiteni China ajaze hiyo nafasi iliyoachwa wazi na Trump. Tuone ubavu wake wa kiranja China.
 
Marekani baba lao. Baada ya Trump kuanza kuwarudisha makwao waamiaji haramu na kusitisha misaada ya bure kupitia USAID na kujitoa WHO, dunia nzima inalia na kumlalamikia Trump kuwa sio mtu! Kila mtu amalize mechi zake vinginevyo China sijui Urussi ijitokeze! Fyooooooh!
sisi ni mafala wa kuokolewa tu hatuna akili ya kujiokoa ingawa tumebarikiwa kila kitu
 
Unadhani duniani kuna cha bure ? Hio Misaada USA iliyokuwa inatoa mwisho wa siku ni kampuni za nyumbani kwake ndio zilikuwa zinafanya supply, pili kwa kuwa kwake kuonekana anatoa msaada inampa a good vibe (good publicity) na anaweza akatumia vitu hivyo kama nyenzo ya kuwepo kwa policies za kumsaidia..., Ni kwamba Trump mpuuzi mkurupukaji hajui hayo..., ukizingatia hakujawahi kuwepo wakati ambapo dollar kutumika kama currency ya dunia kuwepo kwenye misuko suko ya watu kuhama hii ni kama turufu kwa wengine wanaoweza kujitokeza...

In short kwangu mimi hili ni zuri sana sababu hata misaada inadumaza na mingi huwa haifanyi kusudio lake..., Alisema Sankara..., He who Feeds you, Controls You....

What I would like to see happen ni mataifa mengi kujitoa kwenye utegemezi wa USA kwa kuanzia na mfumo wa Dollar...

Acha iendelee kunyesha tuone panapovuja
 
Marekani baba lao. Baada ya Trump kuanza kuwarudisha makwao waamiaji haramu na kusitisha misaada ya bure kupitia USAID na kujitoa WHO, dunia nzima inalia na kumlalamikia Trump kuwa sio mtu! Kila mtu amalize mechi zake vinginevyo China sijui Urussi ijitokeze! Fyooooooh!
AKina putin si ndio supa pawa na 2 agawe basi arv, neti za mbu, op kansa za matiti, na katika kitu ambacho USA na WHO wamesaidia watu weusi ni kufanya operation bure za watoto wenye midomo yenye kupinda . Yaani ukifaanyiwa op.kama huna uwezo unapewa na nauli ya kurudia kwenu pia vyote bure. na wameambiwa watu wawatafute watoto hao watatumiwa nauli ya kuja hosp. Ndio maana wale watu Mungu anawazidishia
 
Back
Top Bottom