Baada Marekani kujitoa katika misaada ya bure duniani, haya basi China iliyokuwa inajitutumia ije!

Baada Marekani kujitoa katika misaada ya bure duniani, haya basi China iliyokuwa inajitutumia ije!

Mwaka huu tutazika wenye ngoma mpaka tukome
 
Unadhani duniani kuna cha bure ? Hio Misaada USA iliyokuwa inatoa mwisho wa siku ni kampuni za nyumbani kwake ndio zilikuwa zinafanya supply, pili kwa kuwa kwake kuonekana anatoa msaada inampa a good vibe (good publicity) na anaweza akatumia vitu hivyo kama nyenzo ya kuwepo kwa policies za kumsaidia..., Ni kwamba Trump mpuuzi mkurupukaji hajui hayo..., ukizingatia hakujawahi kuwepo wakati ambapo dollar kutumika kama currency ya dunia kuwepo kwenye misuko suko ya watu kuhama hii ni kama turufu kwa wengine wanaoweza kujitokeza...
Ni fursa ya Wachina na Warusi kutoa hiyo misaada sasa ili kampuni za nyumbani kwao zifanye supply na wapate good vibe(good publicity)?
 
Watu husema China, China, China. Haya mwiteni China ajaze hiyo nafasi iliyoachwa wazi na Trump. Tuone ubavu wake wa kiranja China.
Huko China kwenyewe mpaka leo watu hawana maji safi na salama,ndio wawaletee nyie wamatumbi Arvs?
 
Ni fursa ya Wachina na Warusi kutoa hiyo misaada sasa ili kampuni za nyumbani kwao zifanye supply na wapate good vibe(good publicity)?
Kodi walipe raia wa Urusi na China alafu waje kukupa wewe mvivu wa fikra na wakati huo huo unatumia 500b kununua magari ya kifahari.

Hakika kaburu Botha alikuwa Sawa pamoja na Tracy Zille
 
Huko China kwenyewe mpaka leo watu hawana maji safi na salama,ndio wawaletee nyie wamatumbi Arvs?
Ngono ufanye kwa starehe zako alafu ukipata UKIMWI utegemee Mchina ndo akuletee ARVs , mwafrika ni kiumbe mpumbavu sana
 
Marekani baba lao. Baada ya Trump kuanza kuwarudisha makwao waamiaji haramu na kusitisha misaada ya bure kupitia USAID na kujitoa WHO, dunia nzima inalia na kumlalamikia Trump kuwa sio mtu! Kila mtu amalize mechi zake vinginevyo China sijui Urussi ijitokeze! Fyooooooh!
china anaweza kufanya hayo yote, lakini haoni sababu ya kufanya hivyo. Sidhani kama anashindwa kununua ARVs kama USA alivyokuwa anatununulia waafrika na dunia kwa ujumla. Hashindwi akiamua.
 
Nauli ya kwenda burkinafaso ni bei gani? mana sina hakika na hawa watu waliopo ni mida ya akina traore kuonyesha matumizi ya resources zao.
 
Ni fursa ya Wachina na Warusi kutoa hiyo misaada sasa ili kampuni za nyumbani kwao zifanye supply na wapate good vibe(good publicity)?
Mchina hajawahi kuwa hivyo kwa sana ingawa na yeye anakwenda kichini chini, na huenda atafika huko; Russia alikuwa akifanya hivyo tangia enzi za cold war lakini sio kwa sana (in short hakuna cha bure duniani) ila inabidi uwe na system nzuri ya kuweza kunufaika ili watu wasigundue kwa haraka haraka na bado wakupe sifa (USA has been doing this for quite some time). Case in Point kuitumia Europe (under NATO) kuweza kumkabili Russia, na Europe kwa upuuzi wake amekubaliana hata kuacha kununua gesi cheaply (mfano Ujerumani) ili achukue Nishati from USA....; Europe once great has become a puppet of USA (In world politics Insignificant); Vita Iran alivyomvamia Kuwait USA alivyoingilia kati Bush ukiangalia kwa undani Zapata Petroleum ilikuwa co founded na Rais Bush, pamoja na vinara wengi wa USA...

Ila for the betterment of the World napenda haya yaendelee kutokea.., hata hao wanaolilia misaada waweze kujitegemea na kuondokana na total dependency...
 
Tutamkumbuka Madabida TZ ngoja tuanze kudondoka km embe sindano
 
Marekani baba lao. Baada ya Trump kuanza kuwarudisha makwao waamiaji haramu na kusitisha misaada ya bure kupitia USAID na kujitoa WHO, dunia nzima inalia na kumlalamikia Trump kuwa sio mtu! Kila mtu amalize mechi zake vinginevyo China sijui Urussi ijitokeze! Fyooooooh!
China na Urusi hawawezi kulea wajinga
 
Ni fursa ya Wachina na Warusi kutoa hiyo misaada sasa ili kampuni za nyumbani kwao zifanye supply na wapate good vibe(good publicity)?
Yaani badala ya kutengeneza base yenu, bado mnatafuta msaaada? Mwafrika mwafrika akili umepeleka wapi?
 
Yaani badala ya kutengeneza base yenu, bado mnatafuta msaaada? Mwafrika mwafrika akili umepeleka wapi?
Kwa hiyo watu wenye HIV na ukimwi sasa hivi watasubiria mpaka tutengeneze ARVs zetu na serikali za ki-Africa zitakapohamisha pesa kutoka maeneo mengine kufadhili ununuzi wa hizi dawa, chanjo na condom??
 
When south korea wana revolutionize uchumi wao wakati wametoka ku survive vita. South korea ilikuwa ni moja ya nchi masiki duniani, wakiwa na hali mbayaa, no kitega uchumi

South korea walifunga mkanda 1960-1990, leo ni koja ya taifa kinalotoa msaada africa. Na uchumi stable na mzuri

Singapore ambayo imepata uhuru 1965, walikuwa na hali mbaya wakafinga mkanda, 1985-1990 ndio uchumi ukaanza kupanda

Somo ni lipi hapa, yes watu watakufa, but tukipata cha kwetu vizazi vijavyo vitakuwa vikeokoka, na itatutoa kwenye utegemezi. Period
 
Back
Top Bottom